• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KIWANDA CHA SARUJI MBIONI KUJENGWA

Imetumwa : July 5th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule leo Julai 5, 2023 amefanya kikao kwa njia ya mtandao na wawekezaji wakizawa ambao wameingia ubia na wawekezaji kutoka Libya kwa ajili ujenzi wa kiwanda cha saruji, kiwanda ambacho uwekezaji wake ni wa thamani ya Dola Milioni 200 na kinatarajiwa kujengwa Wilayani Kongwa.

Kikao hicho kwa njia ya mtandao kimefanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kati ya kampuni ya Alotab & Block BB na Libyan Petrolium ya Libya hafla iliyoshuhudiwa na Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri na Wataalamu kutoka Jiji la Dodoma.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewahakikishia wawekezaji hao mazingira rafiki ya kutekeleza shughuli zao za uwekezaji na kuwakaribisha kuwekeza zaidi katika ujenzi wa viwanda vingine, ujenzi wa Hoteli zenye hadhi ya nyota Tano na kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu ya afya.

“Tunamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kufungua fursa za uwekezaji ndani na nje ya nchi. Nawakaribisha Dodoma, Makao Makuu ya Nchi yetu, fursa za uwekezaji ni nyingi wekezeni zaidi katika Mkoa wetu, tunayo ardhi na malighafi ya kutosha” Senyamule alisisitiza.

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe. Remidius Mwema amesema Wilaya yake iko tayari kushirikiana na wawekezaji hao na kuainisha kuwa katika Wilaya yake ekari 500 zimepimwa katika eneo la Pandambili maalumu kwa ajili ya uwekezaji.

Nae mwekezaji mzawa Bw. Addulkadir Jilan akizungumza kwa niaba ya wenzake amesema kuwa ujenzi wa Kiwanda hicho utaanza mapema mwezi Septemba na kusisitiza kuwa maandalizi yote yanaendelea ikiwa ni pamoja na makubaliano na Kampuni ya Beijing kutoka China ambao watahusika na ujenzi wa Kiwanda hicho.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DHAMIRA YA MHE.RAIS , WATANZANIA KUPATA HUDUMA YATIMIA KWA MKOA WA DODOMA

    May 22, 2025
  • WAKANDARASI WASIOKAMILISHA MIRADI KUDAIWA FIDIA

    May 21, 2025
  • KUBORESHA LISHE NGAZI YA KAYA; KAMATI YA LISHE MKOA WA DODOMA YADHAMIRIA KUWA MFANO

    May 18, 2025
  • TANZANIA NCHI YA KWANZA AFRIKA MASHARIKI KUZALISHA TANI 34,000 ZA ASALI

    May 20, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.