• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RAIS MAGUFULI: KUANZIA LEO DODOMA NI JIJI

Imetumwa : April 26th, 2018

RAIS MAGUFULI ATANGAZA KUIPA HADHI YA JIJI MANISPAA YA DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 26, 2018 ametangaza kuipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji la Dodoma na kumteua aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Ndg. Godwin kunambi Kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma.


Mheshimiwa Rais Magufuli ametangaza uamuzi huo wakati akitoa salamu zake kwenye Sherehe za Maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma Makao Makuu ya Nchi na kuagiza taratibu zote  za kisheria kuhusiana na suala hilo zifanyike.


“kuanzia leo, kwa mamlaka mliyonipa Watanzania natangaza Dodoma ni Jiji, Maandalizi yote ya Kisheria yaanze kufanyika na huyu Mkurugenzi aliyekuwa wa Manispaa ya Dodoma nimemteuwa kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma” alitangaza Rais Magufuli


Amesema kuwa Dodoma itakuwa jiji la kipekee kwa kuwa lipo katikati ya Nchi na ameahidi kuzungumza na wadau mbalimbali wa maendeleo kwa ajili ya kupata miradi ya uendelezaji wa jiji la Dodoma na kuwa wadau hao sasa watambue fedha watakazotoa kwa ajili ya miradi ya Maendeleo Dodoma haziji kwenye Manispaa bali sasa zinakuja kwenye Jiji la Dodoma.


Rais Magufuli pia amesema azma ya serikali kuhmia Dodoma ipo palepale kamwe hakuna kurudi nyuma na hadi sasa tayari watumishi 3800 wameshahamia Dodoma. Amesema na yeyen kama alivyoahidi mwaka huu anahamia Dodoma.


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge Kwa niaba ya Wananchi wote wa Mkoa wa Dodoma amemshukuru Mheshimiwa Rais Magufuli kwa heshima kubwa sana aliyoupatia Mkoa wa Dodoma kwa kuipandisha Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji huku akisema zipo baadhi ya Manispaa hapa nchini zipo katika mchakato wa kuomba kupandishwa kuwa jiji na bado hazijafanikiwa. 


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2020 January 15, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2020 January 15, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 SHULE ZA BWENI (WASICHANA NA WANAUME) . December 20, 2020
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA YA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2020 January 15, 2021
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KATIBU TAWALA SINGIDA AKABIDHI OFISI KWA KATIBU TAWALA DODOMA

    March 23, 2023
  • MACHINGA DODOMA WAMPONGEZA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

    March 23, 2023
  • KIWANDA CHA AINA YAKE KUJENGWA KONGWA

    March 17, 2023
  • WAFANYAKAZI WAASWA MSHIKAMANO MAHALA PA KAZI

    March 15, 2023
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Mkoa akiongoza siku ya maombi jijini Dodoma
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.