• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TATHMINI KUFANYIKA BONDELA MZAKWE, WAKAZI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO

Imetumwa : February 13th, 2024

Wananchi wanaoishi  maeneo ya karibu na Bonde la Mzakwe wametakiwa kutoa ushirikiano katika zoezi la tathmini linalofanyika na timu ya watalaam ambayo imeundwa kwa ajili ya kupata taarifa sahihi za  maeneo hayo ili kusadia  ushauri na  maamuzi  yatakayotolewa  katika harakati za kunusuru bonde hilo ambalo ndio chanzo kikuu cha Maji kwa Mkoa wa Dodoma.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa  Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule Februari13,2024 wakati akiitambulisha timu hiyo  kwa wananchi wanaoishi maeneo ya Bonde hilo na  maeneo jilani ambapo utambulishi huo umefanyika katika  Ukumbi wa Veyula Jijini Dodoma.

"  Kuna timu ya watalaam itapita kwenu kuja kupata taarifa ni watu wanaokuja kwa amani na wakute amani ,watafanyakazi kwenye maeneo yanayozunguka Bonde watapita nyumba kwa nyumba Ili kupata taarifa za Msingi na hiyo kazi kuanzia tarehe 14 hadi  21 Februari ", Amesema Senyamule

Kwa Upande Wake Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mhe.Jabir Shekimweri amewaomba na kuwaagiza wenyeviti wa Mitaa na Vijiji ambao tathmini hiyo itafanyika katika maeneo yao, kuwatumia wazee maarufu na wazaliwa wa wa maeneo yao ili wawasaidie kukusanya taarifa zisizo na mkanganyiko na zenye maslahi katika tathmini hiyo ambayo Ina lengo la kulinusuru bonde hilo.

Naye Mkazi wa Kijiji cha Mundemu akizungumza kwa niaba ya wakazi wanaolizunguka bonde hilo Bw.Ayub Chimuli  amemshukuru Mhe.Senyamule kwa kuja na mchakato huo wa kupatia ufumbuzi wa eneo hilo la Bonde kwani  imekuwa ni changamoto ya muda mrefu kwa wakazi hao.

Timu ya Tathmini hiyo imeundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma  kutokana na uwepo wa shughuli za kibinadamu ikiwemo kuchunga mifugo ndani ya hifadhi, kilimo na ukataji Miti ambazo zinaathiri upatikanaji wa Maji Mkoani humo.

Tathmini hiyo itafanywa na wataalamu mbalimbali kutoka Wizara ya Maji, Bonde la wami ruvu, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ,DUWASA,  Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma na wadau mbalimbali wa Maji na mazingira.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.