• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WANANCHI WASISITIZWA KUJISAJILI PEMBEJEO ZA RUZUKU

Imetumwa : October 21st, 2022

Hayo yamejiri wakati wa kikao cha kutathmini mwenendo wa zoezi la usajili wa wakulima kwenye mfumo kwa ajili ya kupata mbolea na pembejeo za kilimo kutoka Serikalini kwa bei punguzo(ruzuku) kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwenye Ukumbi wa Mikutano wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Kikao hicho kimehudhuriwa na wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Jiji la Dodoma pamoja na maafisa ugani. Baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya hali ya kilimo kwa sasa kwa Mkoa wa Dodoma pamoja na zoezi la usajili wa wakulima kwenye mfumo kwa ajili ya pembejeo za kilimo za ruzuku, Mhe. Senyamule amesema;

“Twendeni tukahamasishe wananchi wajisajili kupata na kutumia mbolea, muwape elimu ya namna ya kutumia mbolea ya ruzuku kwani nguvu ya Serikali kwa sasa inakwenda kwenye kilimo”

Hata hivyo, amewataka maafisa ugani kufanya oparesheni ya kujiwekea malengo kwamba kwa siku lazima wasajiliwe wakulima hamsini ingawa ana imani inawezekana kusajili wengi zaidi ya hao.

Akiwasilisha ripoti ya Kilimo Mkoa pamoja na zoezi la usajili kwenye mfumo kwa Halmashauri zote, Katibu Tawala Msaidizi  Uchumi na Uzalishaji Mkoa Bi. Aziza Mumba amesema kuwa, kutokana na changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa pembejeo na mbolea bora, Serikali imeandaa mwongozo wa kusimamia mbolea ya ruzuku.

“Lengo hasa la Serikali ni kumpunguzia mkulima gharama za pembejeo za kilimo kwani bei ambayo Serikali itamsaidia mkulima wakati akihitaji kupata pembejeo za kilimo ni zaidi ya asilimia 50” .Amesisitiza Bi.Aziza Mumba.

Kuhusu ripoti ya waliokwisha jiandikisha kwenye mfumo wa kununua mbolea na pembejeo za ruzuku,Bi. Aziza amesema mpaka sasa kiwango bado hakiridhishi kwani ni chini ya asilimia 50 huku akisisitiza kuwa hakuna mbolea itakayouzwa nje ya mfumo wa ruzuku kwa mwaka huu wa kilimo.

MWISHO

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2020 January 15, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2020 January 15, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 SHULE ZA BWENI (WASICHANA NA WANAUME) . December 20, 2020
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA YA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2020 January 15, 2021
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KATIBU TAWALA SINGIDA AKABIDHI OFISI KWA KATIBU TAWALA DODOMA

    March 23, 2023
  • MACHINGA DODOMA WAMPONGEZA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN

    March 23, 2023
  • KIWANDA CHA AINA YAKE KUJENGWA KONGWA

    March 17, 2023
  • WAFANYAKAZI WAASWA MSHIKAMANO MAHALA PA KAZI

    March 15, 2023
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Mkoa akiongoza siku ya maombi jijini Dodoma
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.