• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

AFYA NI NGUZO KUBWA YA MAENDELEO

Imetumwa : April 5th, 2024

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amefungua mkutano wa Mwaka wa wadau wa afya wanaohudumiwa na MSD( Medical Store Department) Leo 05 Machi 2024 katika ukumbi wa OSHA maeneo ya medeli.

Akizungumza na wadau hao Rc Senyamule amesem kazi kubwa inayofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa anayoifanya kwa nchi yetu katika kila sekta Asa sekta hii ya afya maajabu mengi yaliyotokea katika sekta ya afya la ongezeko kubwa la miundombinu ya afya akiwemo vituo vya afya.

“Tumeshuhudia mambo ambayo hatukuzani kama yanaweza kutokea kwa kipindi kifupi cha kuletewa vifaa Tina vingi kila kituo na kudumisha mabadiliko makubwa katika sekta iyo na kuwa pongeza MSD kwa mabadiliko makubwa yanayotokanana na Msd katika jambo la Dawa”.

Afya ni nguzo kubwa sana kwa maendeleo ya mwananchi mmoja mmoja na hata Taifa kwa ujumla na mkutano huu ni muhimu sana kwa pande zote mbili yaani Bohari ya Dawa (MSD) yenyewe na hata vipngozi wa Sekta ya afya ngazinya mkoa na Wilaya” amesema senyamule.

Vilevile Ndg.Mavere Tukai amesema madhumuni ya Mkutano huu ni kuboresha uhusiano na Mawasiliano Kati ya MSD na Wadau wa afya Katika mikoa ya kanda ya kati,kuwapa uelewa wadau namna MSD inavyofanya kazi kwa Pamoja na mifumo iliyopo,kuhakikisha MSS na wadau kudumisha umoja utakaoendelea na kuwezesha kuwahudumia wananchi.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.