• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ENDELEENI KUELIMISHA VIJANA JUU YA MAADILI MEMA

Imetumwa : September 14th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Staki Senyamule, amewapongeza Watawa wa Shirika la Mtakatifu Gemma Galgani lililopo Wilaya ya Kondoa kwa dhamira yao ya kuanzisha kituo cha malezi kwa Watoto ambao wazazi wao wamehukumiwa vifungo gerezani huku akisisitiza Taasisi nyingine za dini kuiga mfano huo.

Hayo yamebainika katika sherehe za maadhimisho ya Jubilei ya Shirika hilo la Watawa ambalo limetimiza miaka 75 tangu kuanzishwa kwake ambapo Mhe. Mkuu wa Mkoa  amemwakilisha Makamu wa Rais Mhe. Phillip Isdori Mpango ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi.

“Mpango wa kuanzisha kituo cha kulea Watoto wa wazazi walio gerezani ni kitendo kikubwa na cha muhimu sana, hivyo, nitoe wito kwa jamii kuendelea kushirikiana na Taasisi za dini na Serikali kwa ujumla kusaidia walio katika mazingira magumu. Tuendelee kuwaelimisha vijana masuala maadili, tuwaombee vijana na viongozi wetu wote”. Mhe. Senyamule

Aidha, Mhe. Senyamule ametoa shukrani zake kwa viongozi wa dini kwa kuhamasisha suala la Sensa, zoezi lililofanyika nchi nzima na limetamatika siku kadhaa zilizopita. Pia ameelezea dhamira ya Rais wa awamu ya Sita kutaka kuifanya Tanzania kuwa nchi inayopenda haki, amani na uhuru kwani ameuongezea nguvu muhimili wa Mahakama kwa kuujengea makao makuu Jijini Dodoma.

“Zoezi la Sensa ya watu na makazi limekua na mafanikio makubwa na hii ni kutokana na ninyi viongozi wa dini mumekuwa mukishirikiana na Serikali katika kuhamasisha wananchi, niwapongeze sana kwa kuleta ufanisi huo mkubwa” Amesema Mhe. Mkuu wa Mkoa

Kwa upande wake Askofu  wa jimbo la Dodoma Beatus Kinyaiya, ametoa wito kwa Watawa hao kuendelea kuwa, na mshikamano.

“Umoja na mshikamano ni muhimu tumeendelea kuwa wamoja kusaidia watu” Askofu Kinyaiya

Mpaka sasa jumla ya Watawa 308 wameshahudumu katika shirika hilo tangu kuanziswa kwake mwaka 1947.

MWISHO

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.