• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

“ HATUA ZA KISHERIA KUCHUKULIWA KWA MZAZI/MLEZI AMBAYE MTOTO WAKE HATARIPOTI SHULE KWA WAKATI “ - RC SENYAMULE

Imetumwa : January 10th, 2025

Na Sofia Remmi.

Habari-Dodoma Rs

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ameyasema hayo leo tarehe 10 Januari 2025, wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu kuanza kwa muhula mpya wa masomo  ambapo shule zinatarajia kufunguliwa tarehe 13 Januari 2025.

Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi yake Jengo la Mkapa jijini Dodoma.

Akizungumza na waandishi hao Mhe Senyamule amesema "Zikiwa zimesalia siku chache kuanza kwa muhula mpya wa masomo,napenda kuwasisitiza wazazi na walezi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa kwenda shule ( Darasa la awali na darasa la kwanza),waliochaguliwa kuanza  kidato cha kwanza pamoja na wale wanaoendelea na madarasa mengine wanakwenda shule bila kisingizio chochote.

“Serikali ya awamu ya sita imefanya uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya shule na kutoa fedha nyingi kwa ajili ya kugharamia elimu bila malipo.

“Hatutakuwa na Mzaha kabisa katika kufuatilia na hatua za kisheria zitachukuliwa kwa wazazi au walezi wote ambao watoto wao hawataripoti shule kwa wakati bila kuwa na sababu za msingi” amesema Mhe. Senyamule.

Aidha Mhe.  Senyamule amesisitiza suala la walimu kuhakikisha maandalizi mazuri ya kupokea wanafunzi,na kwamba wapokelewe bila vikwazo,elimu bila malipo izingatiwe na kusiwe na michango isiyofuata utaratibu.Ulinzi wa watoto ni wajibu wa watu wote,na wafanyabishara wauze bidhaa  kwa bei za zinazotakiwa  ili kuwaondolea Wazazi ugumu katika kutekeleza jukumu wa kuwanunulia watoto wao mahitaji.

Katika hatua nyingie Mhe Senyamule amezungumza kuhusu mkutano mkubwa wa Chama Cha Mapinduzi( CCM) unaotarajiwa kufanyika  tarehe 18/01 na 19/1/2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete convertion.


#dodomafahariyawatanzania

# Bringdodoma to the world,andbringtheworld tododoma

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI HODARI 2025 KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAPONGEZWA

    May 09, 2025
  • MRADI WA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIFAFA WAZINDULIWA DODOMA

    May 08, 2025
  • UBALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA WAADHIMISHA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA NCHINI

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.