• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

JAMII INA KIU YA KUPATA ELIMU YA MASUALA YA LISHE-RC SENYAMULE

Imetumwa : March 10th, 2025

Na. Hellen M. Minja,

       Habari – DODOMA RS


Wataalam wa lishe wametakiwa kuongeza nguvu katika utoaji elimu kwa jamii juu ya masuala ya lishe kwa kuwa jamii ina 'kiu' kubwa ya kupata elimu zaidi. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule alipohudhuria Mkutano wa mwaka wa Taasisi ya Tanzania Home Economics Association (TAHEA) inayojishughulisha na masuala kuimarisha Lishe katika jamii.


Mkutano huo wa siku mbili unafanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Machi 10 - 11, 2025 ukijadili mambo mbalimbali yanayohusu lishe sambamba na maandalizi ya Maadhimisho ya miaka 45 ya TAHEA.


“Maafisa lishe tunayo kazi kubwa ya kufanya kwani bado jamii yetu inahitataji elimu kubwa ya lishe. Mimi nimeshuhudia kiu kubwa ya Watanzania sasa hivi ni kupata elimu ya lishe. Sisi Maafisa lishe tuongeze nguvu kwenye suala la lishe kwani ni fursa ya kiuchumi na tuoneshe kama tuna uwezo” RC Senyamule.


Aidha Mhe. Senyamule amempongeza Mhe. Rais kwa kuweka uzito wa kipekee kwenye suala la lishe kwani yeye ndiye Rais wa kwanza ambaye aliona ili lishe iende na ifike juu, lazima awapatie watu majukumu ikiwemo Wakuu wa Mikoa ambao, alisaini nao mikataba ya kuhakikisha kila mtu anachukua jukumu mahsusi la kumarisha lishe.


Akizungumza kwa njia ya simu wakati wa kikao hicho, Rais wa TAHEA Bi. Asia K. Kapande, amesema uwepo wa Mhe. Senyamule katika Mkoa huu inatoa motisha kwao na kuweka alama kwamba Serikali inatambua mchango wa TAHEA kwenye masuala ya kuimarisha Lishe na wanaamini Mkuu wa Mkoa huyo atawashika mkono katika jitihada zao.


Kadhalika, Mkurugenzi wa TAHEA Bi. Lediana Mng'ong'o, amesema Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameitendea haki taaluma ya Lishe kwa sababu Lishe ilikua sio taaluma ya muhimu tena, lakini kupitia yeye, ameirudisha kwenye hadhi yake kwani hata idadi ya Maafisa Lishe walioajiriwa Serikalini imeongezeka kwa upana wake.




#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SENYAMULE AZINDUA NYUMBA YA MWALIMU YA 02 KWA 01 KONDOA

    July 01, 2025
  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.