• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMPENI YZ MAZINGIRA YA UPANDAJI MITI CHUO KIKUU CHA DODOMA - 26/01/2018

Imetumwa : January 26th, 2018

KAMPENI YA UPANDAJI MITI CHUO KIKUU CHA DODOMA - 26/01/2018

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira - Mhe. January Makamba
 

#Jawabu mojawapo la kuiepusha nchi na hali ya jangwa ni kupanda miti na kutokata miti.

#Lazima tudhibiti matumizi ya mkaa ili kutunza mazingira.

#Matumizi ya mkaa yana gharama kubwa zaidi kuliko gesi.

#Taasisi kubwa za Serikali kama vile magereza, shule, vyuo pamoja na hospitali zitapewa muda wa kuhama kutoka katika matumizi ya mkaa na kutumia gesi na nishati nyingine mbadala.

 

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira - Mhe. Kangi Lugola.

#Kutunza mazingira sio suala la hiari ni suala la lazima.

#Kila Mtanzania mahali alipo apande miti asisubiri Serikali kuleta kampeni ya kupanda miti.

#Wananchi wa Dodoma ni lazima tuyatunze mazingira ili yatutunze.

 

Mbunge wa Dodoma Mjini - Mhe. Anthony Mavunde

#Tumepanga ratiba ya kila kata iliyoko Dodoma mjini kupanda miti.

#Nawaomba wananchi wangu wawe mstari wa mbele katika kupanda miti na kutunza mazingira.

 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma - Dkt. Binilith Mahenge.

#Lazima tupande miti mingi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

#Athari za mabadiliko ya tabianchi ni makubwa na huitaji fedha nyingi kukabiliana nayo.

 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira - Mhandisi Joseph Malongo.

#Tumeshirikisha wataalamu kujua aina nzuri ya miti ya kupanda.

#Sekta binafsi zijitokeze kuunga mkono juhudi za Serikali za kuitunza Dodoma na kuifanya ya kijani.

 

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma - Prof. Idris Kikula.

#Miti 30,000 itapandwa katika maeneo mbalimbali ya chuo na pembezoni mwa barabara ikiwa ni kumbukumbu ya kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwa UDOM mwaka 2007.

#Uongozi wa chuo umeweka mkakati mathubuti wa kuitunza miti hii hata baada ya mvua kuisha.


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.