• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMPUNI YA GREEN DALE KUWEKEZA DODOMA

Imetumwa : September 13th, 2022

Uongozi wa Kampuni ya Green Dale inayojishughulisha na usindikaji wa Mafuta ya kupikia, hivi karibuni umemtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule kwenye ofisi yake iliyopo Jengo la Mkapa House lengo likiwa kujitambulisha pamoja na kumuelezea dhamira yao kwa Mkoa wa Dodoma.

Viongozi hao wamemueleza Mkuu wa Mkoa kuwa dhamira yao kubwa ni kupata ardhi ya uwekezaji kwenye Kilimo cha Alizeti na Ufuta pamoja na kupata eneo lenye ukubwa wa Heka 2 mpaka 5 kwa ajili ya uwekezaji wa kiwanda cha uzalishaji wa Mafuta ya kupikia ya Alizeti. Endapo tutapata eneo hilo la kiwanda matarajio yetu ni  kuzalisha tani 20 za Mafuta kwa siku.

Mhe. Senyamule ameupongeza uongozi wa Kampuni hiyo kwa kuja na wazo kama hilo kwa Mkoa wa Dodoma kwani ndio Mkoa kinara kwa kilimo cha Alizeti na kuongeza kuwa lengo la Serikali ya Mkoa ni kuitangaza Dodoma na kuifanya ya viwanda kupitia kilimo.

“Mmekuja wakati sahihi sana kwani kwa sasa bado ardhi ya uwekezaji ipo na tunaalika wawekezaji wengine wengi kuja kuwekeza Dodoma kwani Mkoa ndio unakua.” RC Senyamule.

Kampuni  ya Green Dale inaundwa na vijana wa Diaspora kutoka nchini Marekani ambao ni mchanganyiko wa vijana kutoka nchini Ethiopia na Tanzania walioungana na kuanzisha kampuni hiyo  ya uzalishaji wa Mafuta ya kupikia aina ya Alizeti na Ufuta. Aidha baada ya kikao hicho  wawekezaji wao  walielekea Nala kuonyeshwa eneo ambalo linaweza kufaa kwa ajili ya uwekezaji wa Kiwanda cha hicho.

MWISHO

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.