• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KITABU CHA PATO LA MKOA WA DODOMA CHA ZINDULIWA RASMI

Imetumwa : November 5th, 2024

Na. Sizah Kangalawe Habari - Dodoma Rs

Kitabu cha pato la mkoa na wasifu wa kiuchumi na kijamii wa Mkoa wa Dodoma kinachoelezea Pato la Mwananchi mmoja mmoja, Wilaya na Mkoa kimezinduliwa leo Novemba 5/2024 Jijini Dodoma.

Uzinduzi huo umefanywa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Stanslaus Nyongo katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jijini Dodoma.

Akizungumza na washiriki wa uzinduzi huo Mhe. Nyongo ametoa maelekezo kwa Mamlaka na Taasisi kutumia taarifa hizo  kupanga Mipango yao ya kimaendeleo.

"Napenda kutoa maelekezo kwa mamlaka za Serikali zilizopo Dodoma zitumie taarifa hizi katika kupanga mipango na programu zao za maendeleo kwa ajili ya kuundeleza Mkoa.

Aidha ametoa rai kwa Mkoa kuweka mikakati ya kuongeza tija kwenye kilimo " katika ripoti hii imeonesha kuwa sekta ya kilimo imechangia 40% kwenye pato la Mkoa, Mkoa uweke mikakati ili kuongeza uzalishaji na tija katika mazao ya chakula na biashara", Ameagiza Mhe. Nyongo

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule Amesema miongoni mwa dhamira ya kuandaa kitabu hicho ni kuweka mkazo katika sekta zinazolegalega.

" Faida za kuandaa pato la Mkoa ni pamoja na kutambua maeneo na sekta ambazo zinalegalega katika kukuza uchumi wa Mkoa ili kuongeza nguvu kwenye maeneo hayo, kutoa msingi thabiti zaidi wa kufanya maamuzi ya kiuchumi kwa Mkoa, Wilaya na Sekta Binafsi," Amesema Mhe. Senyamule.

Naye Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa ameupongeza Mkoa wa Dodoma kwa kuandaa kitabu hicho na kuiomba wizara ya Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, kuendelea kutenga fedha ili kuwezesha kukusanya taarifa za pato la Watanzania ambalo kupitia taarifa hizo zitaiwezesha Serikali kutambua vipaumbele vya Wananchi wa eneo husika kutokana na vipato vyao.

Hatahivyo katibu tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya Amesema taarifa zilizotumika kuandaa kitabu hicho zimezingatia weledi na vigezo  vinavyotakiwa huku zikiwa na vyanzo kutoka sekta mbalimbali ikiwemo kilimo na biashara.


#dodomafahariyawatanzania

#uzinduzipatolamkoa

#dodomatotheworld

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.