• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAAFISA UTUMISHI WASISITIZWA KUTATUA KERO ZA WANANCHI DODOMA

Imetumwa : April 9th, 2024

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K.Mmuya amefungua kikao kazi cha Wakuu wa Divisheni za utawala na Rasilimali watu katika Mamlaka za Serikali za mitaa kwa Mkoa Mkoa wa Dodoma chenye lengo la kuhimiza uwajibikaji na utatuzi wa kero za wananchi.Kikoa hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jengo la Mkapa Jijini Dodoma leo April 09, 2024, kimegusia wajibu wa Maafisa Utumishi kusikiliza na kutatua kero za wananchi kwani malalamiko mengi yanayotolewa wao ndio wanapaswa kutoa majawabu.

“Kauli mbiu ya ‘kero yako wajibu wangu’ iliyozinduliwa na Mkoa, inaongeza hamasa ya kututaka sisi watumishi kutatua kero za wananchi. Hii inadhihirisha Utashi na nia njema ya dhati ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule katika kuhakikisha wananchi wanapewa kipaumbele kwa mambo yanayowatatiza.Katibu Tawala huyo amesisitiza juu ya matumizi ya kauli mbiu hiyo ya Mkoa wa Dodoma.

“Kila mtu atatumia kauli mbiu hiyo kutuongoza watumishi wote, viongozi, wadau wa ndani ya Mkoa wenye dhamira na nia ya kuona kila mmoja anaunga Mkono Juhudi za Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za kupunguza changamoto za wananchi wa kawaida kwani hao ndio kupaumbele cha Serikali yake”. Ameongeza Bw. Mmuya.

Hata hivyo, Katibu Tawala Msaidizi, Utawala na Rasilimali watu Mkoa wa Dodoma Bi. Coletha Kihwale amesema kikao kazi hicho kitasaidia kukuza kaulimbiu hiyo yenye msingi wa kuanzisha kampeni ya kukuza ustawi kwa wanachi na Serikali yao na kuhimiza uwajibikaji kwa wanachi na viongozi.


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.