• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKOA WA DODOMA WAPATA HATI SAFI KATIKA MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2023

Imetumwa : October 7th, 2023

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule Leo Octoba 07,2023  wakati akikabidhi Mwenge wa Uhuru 2023 kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga katika Viwanja vya Shule ya Msingi Dosidosi iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto.

Mhe.Senyamule akitoa taarifa za hitimisho kwa mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 kwa Mkoa wa Dodoma, amesema Mwenge umekimbizwa kwa takribani kilometa elfu moja Mia nane na tisini na tatu (1893) na umepitia jumla ya Miradi ya kimaendeleo arobaini na tano (45) ambapo miradi kumi na mitano (15) imewekwa  mawe ya msingi, miradi kumi na tisa (19) imezinduliwa  na kumi na moja (11) imetembelewa yote ikiwa na jumla ya thamani ya zaidi ya shilingi Billioni 16. Miradi hiyo ni pamoja na miradi ya sekta za elimu, afya na miradi ya utunzaji wa Mazingira.

 Aidha amesema kuwa Mwenge umepita katika Wilaya zote saba  (7) na Halmashauri  nane (8) za Mkoa wa Dodoma ambazo ni zikiwemo Bahi, Chemba, Kondoa Dc ,Kondoa Mji, Dodoma jiji , Chamwino, Mpwapwa na kumaliza mbio zake kwenye Wilaya ya Kongwa.

"Dada yangu Queen Sendiga na Viongozi wote mliokusanyika hapa nitumie fursa hii kuwatangazia na kuwajulisha kwamba, Miradi yote 45 katika Mkoa wa Dodoma imepita salama bila kukataliwa na mbio za Mwenge wa uhuru 2023, hivyo niwapongeze sana Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka huu 2023 kwa kazi hii iliyotukuka mlioifanya Dodoma" ameeleza Senyamule

Hata hivyo, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ameahidi kutekeleza maelekezo kwa sehemu zote ambazo Viongozi wa mbio za Mwenge wameshauri kufanyiwa marekebisho ambapo Mkoa utahakikisha maeneo hayo yanaboreshwa.

Kwa Upande Wake, Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga wakati akipokea Mwenge huo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Senyamule, amesema mwenge wa Uhuru utakapo kuwa Mkoani mwaka,  utatembelea miradi ipatayo 57 yenye thamani ya jumla ya shilingi Billioni 13.2, utaweka mawe ya msingi, utazindua na kukagua miradi mbalimbali.

Nae, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Taifa  Bw.Abdalla Shaib Kaim ameupongeza Mkoa wa Dodoma kwa kupata hati safi katika miradi yote iliyokaguliwa na Mwenge wa uhuru huku akifurahishwa na  ushirikiano ulioonyeshwa na Viongozi katika kitika Kipindi chote Mwenge ulipokua ndani ya Mkoa huo.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.