• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA MKOA WA DODOMA ATANGAZA UKOMO WA VIONGOZI WA SERIKALI ZA MITAA

Imetumwa : October 19th, 2024

Na Hellen M. Majid,

Habari – DODOMA RS


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule, ametangaza ukomo wa madaraka kwa viongozi wa Serikali za mitaa leo Oktoba 19, 2024 kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wa ofisi yaje jengo la MKapa Jijini Dodoma.


Ukomo huo wa madaraka ni kwa viongozi ngazi za wenyeviti wa vijiji, vitongoji, mitaa pamoja na wajumbe wa Halmashauri za vijiji na Kamati za mitaa.


“Kila mmoja anapaswa kufahamu kwamba, kwa mujibu wa kanuni za Uchaguzi wa Serikali za mitaa, Madaraka ya uongozi kwa nafasi zilizotajwa, yanakoma kwa siku saba (7) kabla ya siku za kuchukua fomu za kugombea uongozi wa nafasi hizo” Mhe. Senyamule


Aidha, Mkuu wa Mkoa, ametoa msisitizo kwa viongozi hao kukabidhi vitendea kazi vyote vya Serikali.


“Kama kuna yeyote kati yao mwenye kitendea kazi chochote cha ofisi, akabidhi kitendea kazi hicho kwa mamlaka husika hivyo, naelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote kufuatilia utekelezaji wa agizo hili”


Sambamba na hilo, Mhe Senyamule ametoa rai kwa wananchi wa Dodoma kuendelea kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ikiwa imebaki siku mbili.


“Wakazi wote wa Dodoma ambao bado hawajajiandikisha, kutumia vema siku chache hizi zilizobaki kujitokeza vituoni kwenda kujiandikisha washiriki kikamilifu katika uchaguzi huu ili kuimarisha maendeleo ya vijiji, vitongoji na mitaa yao”


“Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi”


#ujanjanikujiandikisha            

#dodomatwendenitukajiandikishe

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.