• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MRADI WA BWAWA LA MAJI MEMBE-CHAMWINO, UTAKAOGHARIMU TSH.11.965 Bln, KUANZA HIVI KARIBUNI

Imetumwa : August 30th, 2022

Akikabidhi mradi wa ujenzi wa bwawa la maji  la Membe, mradi utakaogharimu kiasi cha Tsh. 11.965 bln, Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe.Gift Msuya amesema, mara bwawa hili litakapokamilika litawezasha umwagiliaji wa hekari 8000.Bwawa litakuwa na maji kwa mwaka mzima.

Mhe.Msuya, ametoa shukrani za dhati  kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo. Aidha Mhe. Msuya amemshukuru Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe kwa kuridhia fedha hizi zije kwenye mradi wa bwawa la maji la Membe.

Mradi huu ulisanifiwa mwaka 2016 lakini kwa kipindi chote chote hicho haukutekelezeka hadi mwaka huu ambapo utaanza 01/9/2022 na kukamilika 01/9/2023.Miradi huu ukikamilika  Wilaya ya Chamwino tutakuwa na chakula cha kutosha. Kutakuwa na  utaratibu maalum wa kuingia kwenye bwana nalo bwawa hili litatengeneza ajira kwa vijana.Ombi langu kwa Wanamembe ni kutoa ushirikiano katika mradi huu kwani ni wenu. Ombi kwa Mkandarasi kutekeleza mkataba kwa wakati na kwa viwango na makabaliano ya mkataba.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Bi. Aziza Mumba ( Katibu Tawala Msaidizi Uchumi na Uzalishaji) amesema ni furaha  sana kuupokea mradi huu ,  tumepewa upendeleo wa hali ya juu  maana kuna halmashauri nyingi nchini lakini Mkoa wa Dodoma umepata fursa hii adhimu. Bwawa la maji la Membe litakuwa mkombozi kwa uchumi wa wananchi wa Dodoma, na litapunguza changamoto za ajira kwa vijana kwani watazalisha chakula mara 3/4 kwa mwaka. Mkoa utakuwa karibu sana kwenye usimamizi.Wananchi watoe ushirikiano wa kutosha kuna kazi za elimu na za mikono hii hela ibaki hapa Membe na Mkoani Dodoma,wananchi wawe tayari kufanya kazi hizo.

Akielezea mradi huo Meneja wa Mradi Eng.Raphael Laizer, ameeleza kuwa watachimba  tuta lenye kina cha 451 m, Upana 12  na kimo cha  110-117m hii ni kulingana na hali halisi ya mwinuko wa ardhi. Mradi huu utakamilika ndani ya miezi 12. Kutakuwa na sehemu ya mifugo na matoleo ya maji ya kunywa ya watu.

Akizungumza kwa niaba ya mkurugenzi wa Tume ya umwagiliaji Mhandisi mkazi Eng. Salehe Ramadhani ameeleza kuwa Bwawa la Membe litakuwa na ukubwa. wa 5.1mln cubic meters na litagharimu Tsh.11.965 bln.“Kulingana na maagizo ya Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe  mradi huu utakuwa shirikishi.Kutakuwa na vikao vya tathimini. Kulikuwa na Kandarasi 30 zilizo omba kazi hii ila kandarasi Nakuroi Contractors ndio waliopata fursa hii na mhandisi Daniel Marishi ndie atakayekuwa msimamizi wa kandarasi hii”.Amesisitiza Eng.Salehe.

Nae Project coordinator Eng. Dani Marishi ameomba  ushirikiano toka kwa Serikali ya Mkoa pamoja na Wananchi wa Kijiji cha Membe, kilichopo kata ya Membe Halmshauri ya Chamwino.


MWISHO




















ReplyForward





























Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2020 January 15, 2021
  • MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2020 January 15, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 SHULE ZA BWENI (WASICHANA NA WANAUME) . December 20, 2020
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA YA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2020 January 15, 2021
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SENYAMULE AAGIZA UJENZI WA MADARASA KUKAMILIKA KWA WAKATI

    May 29, 2023
  • CHEMBA WAASWA KUTOFANYA KAZI KWA MAZOEA

    May 27, 2023
  • GUGU AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA CAMBRIDGE

    May 23, 2023
  • SENYAMULE AZINDUA JUKWAA LA PILI LA VYAMA VYA USHIRIKA

    May 19, 2023
  • Tazama Zote

Video

Mkuu wa Mkoa akiongoza siku ya maombi jijini Dodoma
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.