• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MWENGE WAKAGUA MIRADI YA SHILINGI BILIONI 1.5 KONDOA MJI

Imetumwa : June 30th, 2024

MWENGE WAKAGUA MIRADI YA BILIONI 1.5 KONDOA MJI


Mwenge wa Uhuru umekimbizwa leo Juni 30, 2024 katika Halmashauri ya Mji Kondoa katika Wilaya ya Kondoa, Mkoa wa Dodoma ambapo umepitia kwenye miradi 6 yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.5


Miradi iliyopitiwa na Mwenge huo ni pamoja na Duka la vijana wajasiriamali, mradi wa Maji Hachwi, mradi wa barabara Gubali Bolisa-Iboni, Bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalum Iboni, mradi wa msitu wa Miombo Hachwi na mradi wa Zahanati ya Choka.


Akiwa katika mradi wa Maji Hachwi Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa 2024, Ndugu Godfrey Mnzava amewahakikishia wananchi wa mtaa wa Hachwi kuwa mradi wa maji unaoendelea utakamilika na kutoa huduma kwa kuwa umefikia asilimia 90 ya utekelezaji wake.


Hata hivyo, Baada ya kuongea na wananchi waliofika kuupokea Mwenge wa Uhuru, ameweka jiwe la Msingi katika mradi wa maji Hachwi ambao umegharimu shilingi Milioni 800 zilizotolewa na Serikali kuu.

Pia mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha wananchi zaidi ya 2000 wa Mtaa huo.


Katika hatua nyingine, akiwa katika Mradi wa msitu wa miombo kiongozi huyo amewataka wananchi kuendelea kutunza Mazingira na kuyahifadhi vizuri.


"Shughuli zetu za Kilimo ambazo hazizingatii uendelevu na uhifadhi mzuri wa Mazingira zimeleta changamoto katika Mazingira yetu"

Kwa upande wa Shughuli za ufugaji, watu wanafuga bila tija, wanazururisha mifugo na kuleta changamoto kwenye Mazingira". Amesema


Akitoa salaam za Jimbo la Kondoa Mji Mbunge wa Jimbo hilo Mhe. Ally Makoa amemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea fedha za mradi huo kwani wananchi walikuwa wakipata tabu ya maji kwa kipindi kirefu.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.