• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

PAROLE DODOMA YATAKIWA KUJENGA UTARATIBU WA KUTEMBELEA WAFUNGWA

Imetumwa : September 17th, 2024

Bodi inayohusika na utaratibu wa kuwaachilia wafungwa gerezani ambao muda wao haujamalizika kwa kuzingatia sifa zinazotakiwa kisheria kwa Mkoa wa Dodoma (PAROLE), imetakiwa kuhakikisha inajenga utamaduni wa kuwatembelea wafungwa walioko gerezani mara kwa mara ili kuwasikiliza na kubaini changamoto zinazowakabili kwa ajili ya kuzipatia ufumbuzi.

 Hayo yamebainishwa leo Septemba 17, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya nane ya PAROLE Mkoani humo uliofanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Polisi Magereza zilizopo mkabala na Nyerere square Jijini Dodoma.

 Mkuu wa Mkoa ameihimiza Bodi hiyo kufanya kazi kwa weledi ili kukuza na kuendeleza tunu kuu za taifa. “Ni matumaini yangu Bodi hii mpya mnao anza mtafanya kazi kwa weledi mkubwa ili lengo la serikali lifikiwe na kuendelea kufaharisha Mkoa wa Dodoma “ Amesisitiza Mhe. Senyamule

 Kwa Upande wake, Katibu wa Bodi ya PAROLE na Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma ACP. George Wambura, amesema bodi hiyo imepata mafanikio kadhaa tangu kuanzishwa kwake mwaka 2003 ikiwa ni pamoja na kupunguza msongamano wa wafungwa gerezani, wafungwa wanaobaki gerezani kubadilisha tabia zao ili nao waweze kunufaika na parole, umeipunguzia serikali gharama za kuwahudumia pamoja na kusadia familia zilizopo katika hatari ya kusambaratika kutokana na wazazi/walezi kuwa gerezani na hivyo kupunguza wimbi la watoto wa mtaani.

 Aidha Bodi hiyo inahusisha jumla ya wajumbe kumi na moja na itahudumu katika kipindi cha miaka mitatu.

 #dodomafahariyawatanzania #keroyakowajibuwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.