• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RAS DODOMA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA CDC AFRIKA

Imetumwa : December 4th, 2024

Na. Hellen M. Minja,

       Habari – DODOMA RS

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya, amepokea ugeni kutoka Shirika la  Afrika linalojishughulisha na kuzuia magonjwa(Centre for Disease Control and Prevention(CDC) Afrika,ukiwa na lengo la kujifunza namna Tanzania ilivyoweza kushusha vifo vya Mama wajawazito na watoto wachanga wakati wa kujifungua.

Ugeni huo umefika kwenye ofisi yake iliyopo jengo la Mkapa Jijini Dodoma ukiongozwa na mwakilishi kutoka Wizara ya Afya Dr. Phineas F. Sospeter ambaye ni Mkuu wa Programu ya Uzazi salama.

Katibu Tawala Mkoa amewakaribisha Dodoma na kuelezea namna nchi yetu ilivyofanikiwa katika hilo na kushauri nini cha kufanya

“Mkitaka kujifunza zaidi juu ya nini Tanzania imekifanya, muone Rais wetu kwani ameonesha kwa vitendo mapambano dhidi ya vifo vya kina mama na watoto wachanga lengo likiwa ni kuvimaliza kabisa. Nawashauri mlenge kwenye kumaliza kabisa vifo hivi na si kulenga idadi kadhaa kwani inawezekana.

“Tengenezeni sheria ndogo ndogo na mziwasilishe Serikalini, kwani kazi ya Serikali ni kuzipitia na kutengeneza mazingira mazuri ya kazi mfano M-MAMA imeanzishwa kwa ajili ya kurahisisha usafiri wa dharura kwa mama wajawazito. Huko vijijini mtaona mashine za kutolea huduma za vipimo kama MRI na nyingine ambazo zinarahisisha upatikanaji wa huduma karibu na wananchi” Amesema Bw. Mmuya.

Miongoni mwa wawakilishi kutoka katika Shirika hilo waliofika ofisini hapo ni kutoka nchi 12 ambazo ni mwenyeji Tanzania, Kenya, Uganda, Somalia, Gambia, Congo DRC, Nigeria, Zambia, Chad, Misri, Guinea na Lesotho ambapo wamepanga kutembelea vituo vya afya vya Soya (Wilaya ya Chemba) na Haneti katika Wilaya ya Chamwino.






#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu         #mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.