• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

rc dkt. mahenge ataka uandikishaji wa wananchi chf kwa asilimia 100%

Imetumwa : July 6th, 2019

mkuu wa mkoa wa dodoma dkt. binilith mahenge amemwagiza katibu tawala wa mkoa wa dodoma na viongozi wote wa wilaya zote za mkoa wa dodoma kuhakikisha kaya zote 447,773 kwenye halmashauri za mkoa wa dodoma kuandikishwa kwenye mfuko wa afya ya jamii chf iliyoboreshwa kufikia mwezi disemba 2019 ili wananchi waweze kufaidika na maboresho makubwa yaliyofanywa na rais magufuli kwenye sekta ya afya.

dkt. mahenge amesema licha ya mkoa wa dodoma kuongoza kitaifa katika kuandikisha wananchi kwenye chf kwa kufanikiwa kuandikisha kaya 17,366 kati ya kaya 447,773 kufikia mwezi juni, 2019, kiwango hiko bado ni kidogo ukilinganisha na kaya 447,773 zilizopo kwenye halmasahauri za mkoa wa dodoma ambazo bado hazijaandikishwa kwenye mfuko wa chf.

dkt. mahenge alitoa maagizo hayo julai 6, 2019 wakati akizindua kampeni za kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko wa bima ya afya ya jamii chf iliyofanyika kwenye kijiji cha nzali wilayani chamwino ambapo aliwataka wananchi kuchangamkia fursa ya maboresho ya huduma za afya yaliyofanywa na rais magufuli kwa kujiandikisha kwenye bima ya afya ya jamii akibainisha kuwa kwa sasa mkoa wa dodoma kila wilaya imejengengewa vituo vya afya na wilaya tatu za bahi, chemba na chamwino wamejengewa hospitali mpya za wilaya na wilaya ya chamwino wanajengewa hospitali kubwa ya uhuru. aidha, alibainisha kuwa bajeti ya dawa imeongezeka kutoka shilingi milioni 900 mwaka 2015 hadi kufikia bilioni 9 mwaka huu jambo litakalopelekea kumaliza kabisa uhaba wa dawa kwenye hospitali zetu.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATUMISHI HODARI 2025 KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAPONGEZWA

    May 09, 2025
  • MRADI WA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIFAFA WAZINDULIWA DODOMA

    May 08, 2025
  • UBALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA WAADHIMISHA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA NCHINI

    May 08, 2025
  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.