• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC DR. MAHENGE AWATEMBELEA HOSPITALINI WANANCHI 53 WALIOKULA CHAKULA MSIBANI WAKAKUMBWA NA UGONJWA WA KUHARISHA ENEO LA MTUMBA JIJI LA DODOMA

Imetumwa : December 16th, 2019

WAGONJWA 23 KATI YA 53 WALIOLAZWA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA BAADA YA KULA CHAKULA MSIBANI NA KUANZA KUHARISHA NA KUTAPIKA WAMERUHUSIWA KURUDI MAJUMBANI MWAO LEO MCHANA KUFUATIA HALI ZAO KUREJEA VIZURI

Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt Binilith Mahenge akiwajulia hali wagonjwa 53 wailiolazwa kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mara baada ya kupata ugonjwa wa kuharisha na kutapika baada ya kula chakula kwenye msiba eneo la mtumba jijini Dodoma jana Disemba 15, 2019, Wagonjwa 23 kati ya hao 53 waliruhusiwa leo mchana baada ya hali zao kurejea vizuri, Mlkuu wa Mkoa Dkt Mahenge aliwapongeza timu ya Wataalamu wa Afya wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa namna walivyowashughulikia wananchi hao na kuhakikisha wanarejea katika hali zao za kawaida bila madhara kutokea. Pia alibainisha kuwa serikali ilitoa matibabu kwa wananchi hao wote 53 bure bila malipo yaoyote ambapo alitumia nafasi hiyo kuwataka wananchi kuwa makini kwenye usafi majumbani na vyakula kwa ujumla kwa kuwa msimu huu wa mvua magonjwa ya milipuko huwa yanatokea.


Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt Binilith Mahenge akiwajulia hali wagonjwa 53 wailiolazwa kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mara baada ya kupata ugonjwa wa kuharisha na kutapika baada ya kula chakula kwenye msiba eneo la mtumba jijini Dodoma jana Disemba 15, 2019, Wagonjwa 23 kati ya hao 53 waliruhusiwa leo mchana baada ya hali zao kurejea vizuri, Mlkuu wa Mkoa Dkt Mahenge aliwapongeza timu ya Wataalamu wa Afya wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa namna walivyowashughulikia wananchi hao na kuhakikisha wanarejea katika hali zao za kawaida bila madhara kutokea. Pia alibainisha kuwa serikali ilitoa matibabu kwa wananchi hao wote 53 bure bila malipo yaoyote ambapo alitumia nafasi hiyo kuwataka wananchi kuwa makini kwenye usafi majumbani na vyakula kwa ujumla kwa kuwa msimu huu wa mvua magonjwa ya milipuko huwa yanatokea.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Best Magoma amewajulisha wananchi kuwa kilichotokea ni kwamba wananchi hao wamekula chakula ambacho inawezekana kilikuwa na vimelea vya uchafu au bakteria wenye kusababisha maambukizi ambao wamechangia wananchi hao waliokula chakula hicho kuharisha na kutapika lakini taarifa za kina na usahihi zitatolewa baada ya majibu ya maabara kutoka kufuatia sampuli mbalimbali ambazo hospitalini hapo wamezichukua na kwenda kuzifanyia uchunguzi maabara.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • KAMPUNI YA "CAVO'' YA CHINA YATAFUTA FURSA ZA UWEKEZAJI DODOMA

    May 05, 2025
  • TAWLA - SAUTI YA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKOSA ULINZI WA KISHERIA KATIKA JAMII

    May 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.