• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC Mtaka aanza kazi ya kunyanyua Kilimo cha zao la zabibu Mkoani Dodoma, afanya ziara ya kujifunza kwenye mashamba ya Zabibu ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda huko Zinje (Zuzu) Mkoani Dodoma

Imetumwa : June 4th, 2021

HABARI KATIKA PICHA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka ameanza rasmi kazi ya kunyanyua Kilimo cha zao la Zabibu Mkoani Dodoma, ameandaa ziara ya kujifunza ya Viongozi wa Mkoa wa Dodoma, Wataalamu wa Kilimo na Wakurugenzi wa mabenki na taasisi za kifedha kama vile benki ya Maendeleo ya Kilimo - TADB, CRDB, NMB na Wataalamu wa hifadhi za Mazingira kumtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda huko nyumbani kwake Zinje (Zuzu) nje kidogo ya Jiji la Dodoma; Mhe. Pinda ni Mkulima wa mfano wa zao la Zabibu za aina mbalimbali kama zile za kutengenezea Mvinyo na zile za kula kama matunda, kwa muda wote ameendesha shughuli hiyo ya Kilimo cha Zabibu hapo nyumbani kwake Zinje (Zuzu). Ziara hiyo ilihusisha  kukagua mashamba ya Zabibu, kupata maelezo ya kitaalamu ya uzoefu wa Kilimo cha Zabibu kutoka kwa Mhe. Pinda na kuanza majadiliano ya kuandaa mikakati mipya ya kuendeleza na kukuza zao hilo katika Mkoa wa Dodoma. Kutokana na gharama ya mtaji wa kuanzisha na kuendelea kusimamia Kilimo cha zao la Zabibu, katika ziara hiyo Mhe. Mtaka aliambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya kilimo - TADB Bw. Japhet Justine, Meneja wa Kanda ya Kati wa Benki ya CRDB Bi. Chabu Mishwaro na Meneja wa Kanda ya Kati wa Benki ya NMB Bw. Nsolo Mlozi ili kuona uwezekano wa kushirikisha Taasisi hizo za kifedha kuwekeza mitaji na fedha za kuendeshea kilimo cha Zabibu na kukuza mnyororo wake wote wa thamani katika zao hilo.

Ziara ya mafunzo kwenye mashamba ya Zabibu ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda huko Zinje (Zuzu) Mkoani Dodoma, Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda (kulia) akiendelea kutoa maelezo ya uzoefu wake kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka na Wadau wa Kilimo cha Zabibu alioambatana nao katika ziara hiyo.

Ziara ya mafunzo kwenye mashamba ya Zabibu ya Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda huko Zinje (Zuzu) Mkoani Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka (kushoto) akibadilishana uzoefu na  Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda (kulia) 


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DODOMA YADHAMIRIA KUJIKITA KWENYE KILIMO CHA MATUFAHA (APPLES) KUINUA UCHUMI

    May 08, 2025
  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • KAMPUNI YA "CAVO'' YA CHINA YATAFUTA FURSA ZA UWEKEZAJI DODOMA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.