• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SENYAMULE AZIAGIZA HALMASHAURI ZA DODOMA KUUNDA KAMATI ZA ULINZI NGAZI YA KATA

Imetumwa : December 21st, 2024

Na; Siza Kangalawe

      Habari - Dodoma RS

Mkuu wa mkoa wa dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule amewataka wakurugenzi wa Halmashauri za mkoa wa Dodoma kuanzisha kamati za ulinzi ngazi ya kata na mitaa ili kubaini watoto wanaotumikishwa na wazazi kama kitega uchumi.

Agizo hilo limetolewa  Disemba 21,2024 wakati wa kikao cha kujadili na kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto ya watoto wanaoishi na kufanya kazi za mitaani kilichofanyika  kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Jiji Mtumba Jijini hapo.

“ Naziagiza Halmashauri  zote kuanzisha kamati za ulinzi na usalama za Kata na Mitaa ili kubaini watoto wanaotumikishwa na wazazi kama kitega uchumi", Ameagiza Mhe. Senyamule

Sambamba na hilo Mhe. Senyamule amehimiza kila Halmashauri  kuweka sheria ndogondogo zitakazo saidia kutoa adhabu kwa wazazi/walezi  wanaowatumikisha watoto kwenye kazi za mtaani.

Naye Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Dodoma Bi. Josephine Mwaipopo ameainisha sababu zinazochangia uwepo wa watoto wa mtaani na ombaomba katika Mkoa huu zikiwemo hali ya kukua kwa Mkoa na Miji , kuwepo kwa migogoro katika ndoa, hali ya uyatima, ukatili ndani ya familia , umasikini na kukosekana kwa sheria ndogo ndogo katika Halmashauri zinazowajibisha jamii, wazazi na walezi wasiozingatia usimamizi wa haki za watoto na watu wenye ulemavu wanaotumikishwa.

Kwa upande wake Mfanyakazi kutoka Shirika la SOS Children’s Villages Bw. Damas Damas Amedeus amesema mbali na changamoto hizo wamekuwa wadau muhimu wa masuala ya watoto katika kushirikiana na Serikali kuhakikisha watoto wanatimiza haki zao za msingi  na kukabiliana na kadhia wanazozipata.

&&&

#dodomafahariyawatanzania

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.