• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SENYAMULE AHIMIZA UZALENDO

Imetumwa : January 21st, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule amezindua Rasmi club ya wazalendo katika chuo Cha Serikali za Mitaa Hombolo Mkoa wa Dodoma ambapo zoezi hilo limeenda sambamba zoezi la upandaji miti na kuaapishwa kwa baadhi ya viongozi wa klabu ya uzalendo.

Akizungumza na wanafunzi wa Chuo hicho Mhe. Senyamule amesema kila nchi inatamani iwe na watu wazalendo ili kuwa nakuwa na dhamira Madhubuti ya kulinda na kutetea nchi kwakuwa taifa limekuwa na wazalendo tangu enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Ni matamanio ya Serikali ya Tanzania kuona uzalendo unaendelea kudumishwa hata Rais wetu wa Jamhuri ya muhungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatutendea haki juu ya suala la uzalendo kama kiongozi namba moja ambaye anaonesha uzalendo katika nchi yetu ya Tanzania anatendea haki.

"Uzalendo unaenda mpaka kwenye mazingira, kujituma na kuwa mwaminifu na kuwa na azma ya kuleta maendeleo  katika jamii kufanya kazi kwa bidii hapo utaonesha unaipenda nchi yako, hivyo ni vyema wote muingie kwenye klabu ya uzalendo na ukiwa mzalendo uende ukatoe utatuzi katika jamii ili Tanzania yetu itabadilika

"Kuwa mzalendo kwa kutamani nchi iweze kusonga mbele, kila kitu kinachotokea hakitokei tu ni maandalizi ya Serikali, Maandalizi ya kila mtu mmoja mmoja" Alisisiza Mhe. Senyamule.

Mheshimiwa Senyamule amesema endapo vijana hao watatumia vizuri Taasisi ya Uzalendo kutakuwa na mabadiliko makubwa katika nchi na kuwaasa vijana hao kushawishi wenzao kujiunga na taasisi ya uzalendo ilikuwa na mabadiliko chanya kuanzia ngazi ya Chuo hata nje ya chuo na kuwaahidi ushirikiano ngazi ya mkoa wa Dodoma.

Hafla hiyo ilienda sambamba na zoezi la upandaji miti ambapo katika Chuo Cha Hombolo takriban miti elfu moja imepandwa katika eneo hilo na kutoa rai kwa wanafunzi hao kuendelea na zoezi hilo katika maeneo wanayowazunguka.

Naye Mkuu wa Wilaya Jabir Shekimweli amewahimiza vijana hao kuuenzi uzalendo katika na kusisitiza kuwa uzalendo unaanza ngazi ya kata.

Vile vile Richard Katuma Mratibu wa Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania TWW amesema taasisi  hiyo ina lengo la kuhamasisha uzalendo nchi, kuimarisha amani, usalama, kuilinda na kuhimiza watu kufanya kazi kwa bidiii kwa kushirikiana na wananchi kwenye shughuli za maendeleo ya Jamii na kuitangaza nchi  kitaifa na kimataifa.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.