• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SENYAMULE AWAPONGEZA WANAOJITOA KWA WAHITAJI

Imetumwa : April 20th, 2023

Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewapongeza watu wote walio jitoa kwa moyo kwa wahitaji na ametoa wito watu kuendelea kufanya matendo walio kuwa wakiyafanya mwezi mtukufu. Senyamule ameyasema hayo kwenye mashindano ya kusoma quraan na iftar kwa wajane na yatima iliyoandaliwa na Ofisi ya Sheikh wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini.

Senyamule ametoa pongezi hizo leo tarehe 19/4/2023 kwa washindi wa kusoma Quraan wakati wa iftar ilioongozwa na Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson na Mgeni maalumu akiwa ni Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Mhe.Anthony Mavunde ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo hafla iliyofanyika katika Msikiti wa Gadaffi jijini Dodoma.

"Niwapongeze kwa kufanya toba na sala kwa mwezi mzima wa Ramadhan Serikali imeshuhudia utulivu mkubwa sana wakati huu lakini tunajua maombi mlioyafanya yatatupa amani sisi Mkoa wa Dodoma na nchi kwa ujumla zaidi sana kwa kuombea familia, serikali na viongozi tunawashukuru kwa kujinyima kwa ajili ya Mwenyezi Mungu pia Mkoa na Taifa mbarikiwe sana " Amesema Senyamule

Nae Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewashukuru kwa zoezi zima la maandalizi ya kusoma quraan na amewapongeza walimu wa madrasa wanaofundisha watoto kuhifadhi quraan kwani ni muhimu watoto na vijana kulijua neno la Mwenyezi Mungu kwani kwakuwa wanakuwa ni nguzo bora katika jamii.

Aidha hafla hiyo ya iftari imehudhuriwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Senga Gugu na viongozi mbalimbali wakiwemo wabunge wakiongozwa na Mbunge wa Viti maalum Bi. Khadija Shaban.

Mkuu wa Mkoa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewapongeza watu wote walio jitoa kwa moyo kwa wahitaji na ametoa wito watu kuendelea kufanya matendo walio kuwa wakiyafanya mwezi mtukufu. Senyamule ameyasema hayo kwenye mashindano ya kusoma quraan na iftar kwa wajane na yatima iliyoandaliwa na Ofisi ya Sheikh wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini

Senyamule ametoa pongezi hizo leo tarehe 19/4/2023 kwa washindi wa kusoma Quraan wakati wa iftar ilioongozwa na Mgeni Rasmi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson na Mgeni maalumu akiwa ni Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Mhe.Anthony Mavunde ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo hafla iliyofanyika katika Msikiti wa Gadaffi jijini Dodoma.

"Niwapongeze kwa kufanya toba na sala kwa mwezi mzima wa Ramadhan Serikali imeshuhudia utulivu mkubwa sana wakati huu lakini tunajua maombi mlioyafanya yatatupa amani sisi Mkoa wa Dodoma na nchi kwa ujumla zaidi sana kwa kuombea familia, serikali na viongozi tunawashukuru kwa kujinyima kwa ajili ya Mwenyezi Mungu pia Mkoa na Taifa mbarikiwe sana " Amesema Senyamule

Nae Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewashukuru kwa zoezi zima la maandalizi ya kusoma quraan na amewapongeza walimu wa madrasa wanaofundisha watoto kuhifadhi quraan kwani ni muhimu watoto na vijana kulijua neno la Mwenyezi Mungu kwani kwakuwa wanakuwa ni nguzo bora katika jamii.

Aidha hafla hiyo ya iftari imehudhuriwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bw. Ally Senga Gugu na viongozi mbalimbali wakiwemo wabunge wakiongozwa na Mbunge wa Viti maalum Bi. Khadija Shaban.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SENYAMULE AZINDUA NYUMBA YA MWALIMU YA 02 KWA 01 KONDOA

    July 01, 2025
  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.