• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SENYAMULEA ATOA RAI KWA WANAWAKE KUINUANA KIUCHUMI

Imetumwa : March 27th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wanawake kutumia fursa za makongamano mbalimbali ili kubadilishana maarifa na kuinuana kiuchumi bila kujali viwango vya vipato vyao na kupeana uzoefu wa Mambo mbalimbali.

Akizungumza na wanawake katika kongamano la jukwaa la wanawake la kuwainua kiuchumi mkoa lililofanyika katika ukumbi wa Cathedral jijini Dodoma leo tarehe 27/03/2023 Senyamule amesema wanawake wanapaswa kushirikiana na kupeana fursa mbalimbali pale zinapojitokeza.

"Kila mtu ana nafasi yake kuna wafanyabiashara, wakulima yaani hapa tunakutana watu mbalimbali na wenye uzoefu tofauti tofauti kwahiyo ukija maeneo kama haya hakikisha unaondoka na kitu kipya na cha ziada bila kujali vyeo vyenu, uwezo wenu kifedha na nyadhifa zenu mkiwa hapa endeleni kuwa kitu kimoja.

"Tunazo fursa nyingi katika mkoa wetu natamani kuwaona wanawake mabilionea wengi kutoka Dodoma wametokea baada ya Mhe. Dkt. Samia Suhulu Hassan kutengeneza fursa nyingi hivyo kama huna fursa jishikamanishe na wenzio na kama unayo waambie wenzako hata ukiwainua watano bado umechangia kuwainua kiuchumi" Amesema Senyamule

Kwa upande wake Mwenyekiti wa jukwaa la uwezeshaji wanawake kiuchumi Mary Bwire ameishukuru Serikali ya Mkoa wa Dodoma kwa kuwapa Ushirikiano mzuri pindi wanapohitaji  kufanya kazi ya jukwaa hilo jambo linalorahisisha kufanyika kwa urahisi.

"Kipekee niwashukuru uongozi wa Mkoa wa Dodoma kuanzia kwa mbunge wetu Mhe. Mavunde na Ofisi ya Mkoa nimeshirikiana nao sana katika kulifanikisha hili  kongamano, muda mwingine nawapigia simu usiku lakini hawakuchoka kunipa Ushirikiano niwashukuru tena na niwaombe msinichoke katika kuendelea kujenga fursa kwa wanawake wa Dodoma" Bwire

Aidha katika kongamano Hilo Mhe. Senyamule amepokea tuzo ya pongezi kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuanzishwa majukwaa ya uwezeshaji kiuchumi Nchini Jambo ambalo wanawake wananufaika nalo.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.