• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI KUZINDUA SERA YA MAENDELEO KWA VIJANA

Imetumwa : July 30th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amelipongeza Shirika la Dodoma Youth Development Organization (DOYODO) Kwa kushirikiana na wadau wengine wa Maendeleo Kwa kuandaa jukwaa la siku mbili la Maendeleo ya vijana ambalo hufanyika Kila Mwaka.

Pongezi hizo zimetolewa na Mhe. Senyamule Julai 30 katika ukumbi wa Mikutano wa PSSSF, Makole Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo.

Mhe. Senyamule amesema " niwapongeze DOYODO na wadau wengine Hakika ipo kazi kubwa na nzuri ambayo mmefanya, jukwaa hili na makongamano mengine mengi ya vijana nchini yanalenga katika utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya vijana ya Mwaka 2007, hivyo ni wajibu wa Serikali kupitia ofisi ya vijana kuwapa ushirikiano wa kutosha katika kufanikisha majukwaa hayo".

Hatahivyo Mkuu wa Mkoa huyo ameweka bayana mpango wa Serikali wa kuzindua Sera mpya ya Maendeleo ya vijana inayoendana na ukuaji wa teknolojia ya kisasa.

"Ndugu zangu Serikali yenu Iko mbioni kuzindua Sera mpya ya Maendeleo ya vijana ambayo inaendana na Kasi ya ukuaji wa teknolojia Duniani Ili kuboresha zaidi Maendeleo ya vijana nchini na kuweka mazingira mazuri ya Kisera" ameweka bayana Mhe. Senyamule

Kwa upande wake  Mwenyekiti wa Bodi ya uratibu wa Mashirika yasiyo ya kiserikali Bi.Mwantumu Mahiza, ametumia fursa ya kongamano hilo kuwataka vijana kuzingatia maadili ya Nchi yetu na kuachana na tamaduni za kimagharibi zisizo na maadili ya Kitanzania.

Kongamano hilo limewajumuisha vijana 600 kutoka Kona zote za Mikoa ya Tanzania Bara na visiwani  pamoja Nchi Jirani kama Uganda.

#keroyakowajibuwangu #dodomafahariyawatanzania

&&& 


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.