• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TUMIENI MBINU MBADALA KUKAMILISHA UJENZI WA MIRADI KWA WAKATI -MHE SENYAMULE

Imetumwa : September 15th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka mafundi wa Shule Mpya ya Sekondari Manchali inayojengwa kupitia fedha za  Mradi wa Sequip na Shule ya wasichana ya Mkoa wa Dodoma inayojengwa katika Kijiji cha Manchali Wilayani Chamwino kukamilisha Ujenzi wa Miradi yote kwa wakati uliopangwa na kuzingatia ubora unaokubalika.

Mhe. Senyamule ametoa maagizo hayo Septemba 14, 2023 katika ziara yake ya kikazi ya kukagua Miradi mbalimbali ya Ujenzi wa chuo cha Veta, Shule za Sekondari na kuongea na kusikiliza kero za wananchi wa kata ya Mlowa barabarani kupitia Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Mlowa Barabarani.

"Msije mkasema inashindikana kukamilisha Mradi kwa wakati tumieni njia mbadala ili mkamilishe, nyie mafundi ni wataalamu angalieni njia nzuri ya kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja lakini kwa kuzingatia ubora unaotakiwa na ikiwezekana  ongezeni muda wa kufanya kazi na hakikisheni vifaa vyote vimenunuliwa ili kurahisisha Ujenzi", Amesema Senyamule

Aidha Senyamule amewaasa wananchi wa Manchali kuchangamkia fursa zinazojitokeza kutokana na Ujenzi huo kwani kutakuwa na mahitaji mbalimbali kutokana na ujio wa wanafunzi, Walimu na wageni tofauti tofauti watakaokuja katika Shule hizo.

"Mkoa wa Dodoma unajumla ya kata 209 na kata yenu imepata bahati  ya Miradi miwili mikubwa sasa changamkieni fursa kwasababu kutahitajika vyakula hapa na ujio wa wageni watahitaji mahali pakuishi kwahiyo changamkeni ujio wa Miradi hii kupata fursa za kujiingizia kipato", Mhe. Senyamule

Ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kikazi Mkoani hapa Mhe. Senyamule amekagua Ujenzi wa Shule Mpya ya Kata ya Manchali, Mradi wa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Dodoma, Chuo cha Veta pamoja kuongea na wananchi wa  kata ya Mlowa barabara ambapo amewaasa wananchi wa Kijiji hicho kuwa na umoja ili kurahisisha ufanisi wa utekelezaji wa Miradi ya maendeleo ya Kijiji hicho ikiwemo upatikanaji wa Maji Safi na salama.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.