• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

TUTAWAFATILIA WATOTO AMBAO HAWARIPOTI SHULE -SENYAMULE

Imetumwa : September 26th, 2023


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule leo tarehe 26/09/2023 amefanya ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya kimkakakati iliyopo katika Halmashauri ya jiji la Dodoma katika eneo la Nala na Msalato.

Akizungumza na wadau walioshiriki kwenye ziara hiyo amesema Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kipaumbele kwenye mambo mengi ikiwemo Elimu hivyo ametoa shime kwa wazazi kuhakikisha watoto waliopangiwa kwenda kidato cha tano na bado hawajaripoti wahakikishe wanafanya hivyo mara moja.

Amesema Swala la Elimu ni jambo la muhimu sana kwa kila mwanafunzi kupata elimu iliyo bora na ndio maana Rais hachoki kuleta miradi.

“Kila mzazi ambaye mtoto wake hajaripoti shule ahakikishe anakuja shule kuripoti kwa mara ya kwanza watoto wote waliofaulu kidato cha tano lazima wachanguliwe na waende shule kwani kuna shule nyingi zimejengwa kwaajili ya wao kupata elimu.

“Kwa dhamira njema kabisa ya Mhe Rais ya kuongeza wataalamu katika nyanja mbalimbali katika nchi yetu ni lazima watoto wetu wapate Elimu na tuhakikishe watoto wanafika shule”Amesema Senyamule.

Kwa upande wake Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Msalato Bi. Mwasiti B.Msokola amesema shule ya wasichana ya msalato ilipokea fedha toka serikali kuku kiasi cha shilingi Milioni Mia mbili na sitini tu.

“Ikiwa fedha kwaajili ya ujenzi wa mabweni 02, kwa lengo la kuwapokea wanafunzi Mia mmoja arobaini na mbili (142) wa kidato cha Tano ujenzi huu unatekelezwa kwa kitumia utaratibu wa force account.

Pia katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ametembelea eneo ambalo litajengwa hospitali katika maeneo ya Nala na ujenzi wa shule ya sekondari Mpamaha kata ya Miyuj


MWISHO


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.