• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

“WAFUGAJI WALIOPIMIWA MASHAMBA WAPEWE FURSA ZA UFUGAJI WA KISASA” RC SENYEMULE

Imetumwa : July 23rd, 2024

Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Dodoma, wameagizwa kuwasiliana na Wizara ya Kilimo kwa lengo la kuwatafutia fursa wafugaji walioitikia wito wa kupima maeneo yao kwa hiari na kufanikisha kupatiwa hati miliki za ardhi na mashamba.

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule alipohudhuria hafla fupi ya kukabidhi hati miliki za mashamba ya wafugaji wa Kijiji cha Fufu ndani ya Wilaya ya Chamwino Julai 23, 2024.

“Wafugaji wamekubali kufuga ndani ya maaeneo yao. Serikali lazima tuwaunge mkono ili waone matunda ya dhamira yao. Wakurugenzi, muwasiliane na Wizara ya Kilimo ili wafugaji hawa wapate fursa ya kuchimbiwa visima, wafundishwe upandaji wa majani ya chakula na wapate mbegu za kisasa za mifugo” Amesema Mhe. Senyamule.

Akitoa taarifa ya upimaji mpaka kutolewa kwa hati hizo, Afisa MaendeleoArdhi Wilaya ya Chamwino Bw. Enock Mligo amesema maeneo yaliyopimwa ni katika tarafa za Makang’wa na Itiso amabzo zina wafugaji wengi na ndizo zimekithiri kwa migogoro ya ardhi kati wakulima na wafugaji hivyo zoezi hilo limepunguza kwa kiasi kukubwa migogoro hiyo.

Jumla ya hati 11 kati ya 20 zimekabidhiwa ambapo zoezi la upimaji lilitambua wakulima 87 na mashamba 1317 pamoja na ekari 6639.16 zimepimwa. Licha ya upimaji huo, wafugaji hao wametakiwa kufuata masharti ya umiliki ardhi ikiwa ni pamoja na kutunza alama za mipaka na kutunza mazingira.

Katika hatua nyingine, Mkuu wa Mkoa alitumia Mkutano huo kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Kata ya Fufu na vijiji jirani waliojitokeza ambapo miongoni mwa kero zilizowasilishwa ni pamoja na changamoto ya maji, umeme, upungufu wa walimu, eneo la mnada, barabara, kituo cha afya, nWataalamu walioambatana na Mkuu wa Mkoa walitoa majawabu kwa kero hizo wakisema miradi ya maji na umeme ipo kwenye utekelezaji na pindi itakapokamilika, itamaliza kero hizo. Maeneo kwa ajili ya kituo cha afya na mnada yapo tayari bado utekelezaji wake. Mhe. Senyamule alitoa muda wa juma moja kupata taarifa juu ya utekelezaji wa utatuzi wa kero zote zilizowasilishwa.


#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu













ReplyForward


Add reaction

































Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.