• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wajasiliamali Wapewa Mafunzo

Imetumwa : June 28th, 2022

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma imetoa Mafunzo kwa wajasiriamali wadogo ambao wamewezeshwa mitaji ya biashara na Ofisi hiyo ambapo takribani wajasiriamali 20 walishiriki mafunzo hayo ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Wawezeshaji wa Mafunzo hayo walikuwa wataalamu kutoka  Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) Mkoa wa Dodoma.SIDO ina lengo la kuwasaidia wajasiriamali hao kufungua au kufanya biashara zenye tija.

Akielezea namna ya kufanya biashara yenye tija, Bw. Stephano Ndunguru ambaye ni Mratibu wa mradi SIDO Dodoma, amewafundisha wajasiriamali uhusiano wa Biashara na familia kwani mfanyabiashara asipokua makini na uhusiano huo anaweza kuua biashara wakati lengo lake ni kukuza mtaji kila wakati."Kuna tofauti kati ya mmiliki wa Biashara na Biashara yenyewe, hizi ni nafsi mbili tofauti zinazotakiwa kuheshimiana kwani unapokua na Biashara maana yake umejiari hivyo unapaswa kujilipa mshahara". Amesisitiza Bw. Ndunguru.

Naye Msimamizi wa Fedha kutoka SIDO Dodoma Bw. Justine Kahemela alipata nafasi ya kuwafundisha wajasiriamali hao namna ya kutunza fedha zinazotokana na Biashara kwa kununua bidhaa kwa bei za jumla na kujizuia kununua vitu vingi visivyokua na matumizi. "Unaweza ukanunua vitu vingi lakini hauvitumii na hii itapelekea kuyumbisha mtaji na hatimaye kuua biashara, jaribuni kununua vitu ambavyo vina matumizi ili kufanya mzunguko mzuri wa biashara ". Amesisitiza Bw. Kahemela.

Akifunga Mafunzo hayo ya siku moja, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Anthony Mtaka, Katibu Tawala  Msaidizi Uchumi na uzalishaji Bi. Aziza Mumba, ameshukuru SIDO kwa kuwezesha Mafunzo hayo na amewakumbusha  wajasiriamali hao kuwa Mkuu wa Mkoa Mhe. Mtaka ameguswa na mahitaji yao na amependa kuwasaidia hivyo wasimuangushe katika kutimiza kiu yake ya kuwainua kiuchumi. Pia amewataka kuwa na dhamira ya kuwa na biashara kubwa zaidi, wasibaki hapo hapo wanapoanzia. MWISHO.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WAZAZI WASISITIZWA KUPELEKA WATOTO SHULE KUFUATIA KUIMARIKA KWA MIUNDOMBINU YA ELIMU

    May 08, 2025
  • WATUMISHI HODARI 2025 KUTOKA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAPONGEZWA

    May 09, 2025
  • MRADI WA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIFAFA WAZINDULIWA DODOMA

    May 08, 2025
  • UBALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA WAADHIMISHA MAFANIKIO YA MWAKA MMOJA NCHINI

    May 08, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.