• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAKANDARASI WATAKIWA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI

Imetumwa : April 23rd, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amewataka wakandarasi na wasimamizi wa miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa katika Mkoa huo, kuhakikisha wanakamilisha Kwa wakati na ubora unaotakiwa.

Hayo yamebainishwa na Senyamule wakati wa ziara yake ya kikazi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma iliyofanyika Leo Aprili 23,2024.

Akizungumza wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa jengo la Mionzi ya kutibu Saratani katika Hospitali ya Benjamini Mkapa Mhe. Senyamule ameuagiza uongozi wa Hospitali hiyo kuhakikisha mradi huo unakamilika Kwa muda uliokusudiwa.

"Hakikisheni mnatafuta namna ya kuongeza masaa ya kazi na wafanyakazi Ili kukamilisha mradi Kwa wakati na ubora uliokusudiwa ili wananchi wapate huduma bora kutoka katika jengo hili ambalo litakuwa msaada Kwa wanadodoma na Watanzania.

"Suala la kumaliza miradi kwa Mkoa huu linatakiwa kuwa kaulimbiu Kwa miradi yote inayotekelezwa hapa, pia watumishi wote mnatakiwa kutoa huduma bora zinazoendana na ubora na ukubwa wa majengo ambayo Serikali imetoa fedha kukamilisha miradi hiyo", amesema Senyamule


Kwa upande wa Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali hiyo Dkt. Alphonce Chandika amekiri kuwa kukamilika Kwa mradi huo kutaondoa adha kwa wananchi kusafiri umbali mrefu kufuata huduma hiyo.

" Mradi huu utakuwa mkombozi kwa wananchi watakaobainika na Saratani, tumeshuhudia wanananchi wakipata changamoto kwasababu hapa tulikua tunatoa huduma nusu na kumlazimu mgonjwa kwenda muhimbili kwaiyo kukamilika Kwa mradi huu kutawezesha wananchi kupata zote hapa pasipo kuwalazimu kusafiri umbali mrefu", Dkt. Chandika

Aidha Mhe. Senyamule amekagua ujenzi wa Hospitali ya wilaya ya Dodoma, ukarabati wa madarasa ya Shule ya msingi Amani, ukaguzi wa Shule ya Dodoma English Medium pamoja na ukaguzi wa ujenzi wa jengo la Mionzi ya kutibu Saratani katika Hospitali ya Benjamini Mkapa.


Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.