• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAKAZI WA HURUI KONDOA DC WAJENGEWA DARAJA LA BILIONI 1.6

Imetumwa : August 21st, 2024

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amewaagiza viongozi na Wananchi wa Kijiji cha Hurui katika Halmashauri ya Kondoa Vijijini kupanda miti pembezoni kwa kingo za Daraja Hurii ili kutunza Miundombinu yake kwani limegharimu fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.6 katika Halmashauri ya Kondoa Vijijini.

Ikiwa ni Tarehe 21 Agosti 2024, siku ya tatu ya ziara yake Mkoani Dodoma, akiwa katika Wilaya ya Kondoa, Mhe. Mpango ameweka Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa daraja hilo pamoja na kukagua Mradi ambao umekamilika kwa asilimia 98.

"Hii ni Miundombinu inayogharimu fedha nyingi iwaombe sana viongozi wa Halmashauri ya Kondoa, musimamie zoezi la kupanda miti kwenye kingo za daraja hili ili kuliokoa lisipitiwe tena na maji tena wananchi wakarudi kukosa huduma" Mhe. Dkt. Mpango.

Kadhalika, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule, amesema kuwa Wilaya hiyo imepokea fedha kwa ajili ya kutekeleza Miradi mbalimbali ya maendeleo takribani shilingi Bilioni 77.9 na kwenye Kata hiyo pekee zimepokelewa shilingi Bilioni 4 kwa ajili ya miradi ya Maji, afya, Elimu, n.k

Aidha, Makamu wa Rais ameongea na Wananchi na kusikiliza baadhi ya kero zao ikiwa ni pamoja na ukosefi wa Maji. Keeoimepatiwa ufumbuzi kupitia Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Methew ambaye ameahidi itakwisha ifikapo Oktoba 30, 2024 baada ya kukamilika kwa mradi unaotekelezwa katika Kijijini cha Madege unaogharimu shilingi Milioni 470 na umefikia 50% ya utekelezaji wake.

Mradi wa ujenzi wa daraja la Hurui, ulikua chini ya wakala wa Barabara Vijijini (TARURA), ulimalizika June 03, 2023 likiwa na urefu wa mita 30, uwezo wa kubeba uzito wa tani 70 na linatarajiwa kudumu kwa miaka 100, limekua mkombozi kwa wanakijiji hao na Vijiji vya jirani kwani limeondoa adha ya kukatika Mawasiliano baina yao na Wananchi wa Mkoa jirani wa Manyara hasa kipindi cha mvua.

#dodomafahariyawatanzania#keroyakowajibuwangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RAIS DKT. SAMIA ASISITIZA KUIMARISHWA KWA KILIMO ILI KUJIHAKIKISHIA USALAMA WA CHAKULA

    June 28, 2025
  • SERIKALI IMEJIZATITI KULETA MAENDELEO KWA KUIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

    June 25, 2025
  • TANZANIA SIYO SALAMA KWA WAUZAJI , WASAFIRISHA, WALIMAJI NA WATUMIAJI WA DAWA ZA KULEVYA” - MHE. MAJALIWA

    June 26, 2025
  • SHUGHULI ZA KIBINADAMU ZATAJWA KUWA TISHIO KWA CHANZO CHA MAJI BONDE LA MAKUTUPORA JIJINI DODOMA

    June 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.