• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MRADI WA MAJI PWAGA KUNUFAISHA WANANCHI 13,971 MPWAPWA

Imetumwa : November 7th, 2024

Na. Hellen M. Minja,

       Habari - DODOMA RS

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule amekabidhi gari kwa Meneja wa Wakala wa usambazaji maji na Usafi wa Mazingira Vijiji (RUWASA) Wilaya ya Mpwapwa itakayotumika kurahisisha usimamizi na ufuatiliaji wa miradi ya Maji inayotekelezwa ndani ya Halmashauri hiyo kutokana na ubovu wa gari iliyokuwepo awali.

Aidha, baada ya makabidhiano hayo, Mhe. Senyamule alikwenda kukagua Mradi wa usambazaji huduma ya maji katika Vijiji vya Pwaga, Mingowi, itende na Maswala unaogharimu shilingi 4,302,281,669.70 fedha kutoka mfuko wa maji wa Taifa ukiwa na lengo la kutatua changamoto ya upatikanaji wa Maji safi katika Kata ya Pwaga na kuimarisha Usafi wa Mazingira.

Mradi huo unahusisha ujenzi wa matenki  mawili moja kubwa likiwa na uwezo wa kubeba lita 500,000 na dogo likibeba lita 50,000 ukitekelezwa na Mkandarasi kutoka kampuni ya MS Pioneer Building Ltd. ya Jijini Dar es salaam ambapo Mradi umefikia asilimia 63 ya utekelezaji wake.

Kukamalika kwa Mradi kunatarajiwa kunufaisha wananchi takriban 13,971 wa Vijiji hivyo kwani kwa sasa kuna mahitaji ya lita 18,450 na Mradi utakua na vituo 30 na Milambo 6. Msimamizi Mkuu wa Mradi ni Ofisi ya Meneja wa RUWASA Mkoa na Wilaya.


#kurayakosautiyako

#ujanjanikupigakura

#dodomatupotayarikupigakura

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • DODOMA YADHAMIRIA KUJIKITA KWENYE KILIMO CHA MATUFAHA (APPLES) KUINUA UCHUMI

    May 08, 2025
  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.