• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI KUKAMILISHA MRADI MKUBWA WA KUONDOA SUMU KUVU

Imetumwa : June 17th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule amesema Serikali inatekeleza mradi mkubwa wa kukausha mazao na kupambana na sumukuvu katika Mji Mdogo wa Kibaigwa wenye gharama ya Shilingi ya Bilioni 18.

Senyamule ameyasema hayo leo 17/06/2023 Wilayani Kongwa wakati wa siku ya tatu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Bw. Daniel Chongolo.

Amesema kuwa kukamilika kwa mradi huo kutaongeza thamani ya mazao ya wakulima katika mji huo hivyo kuwapa uhakika wa kuuza mazao yao ndani na nje ya nchi.

Amesema Serikali inakamilisha mradi huo mkubwa na wa aina yake Afrika chini ya Wizara ya kilimo ili kuondoa sumu kuvu katika mazao ili kuimarisha uhifadhi wa mazao hayo kwa muda mrefu.

Senyemule pia amesema katika kuimarisha uchumi wa wakazi wa Kibaigwa, Serikali inaendelea na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika ya Dodoma, Arusha na nchi jirani ili kuimarisha biashara.

Akiwa Wilayani Kongwa Katibu Mkuu wa CCM Bw. Daniel Chongolo amesema azma ya Chama kilichounda Serikali ni kuhakikisha kinaleta maendeleo kwa wananchi.

Aidha, akiwa eneo la Mtanana Chongolo amesema Serikali itatua changamoto ya mgogoro wa ardhi katika eneo hilo na kuhakikisha maji yanapatikana mapema ili kuondoa changamoto hiyo.

Bw. Chongolo yuko Mkoani Dodoma kwa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya maendeleo, hii leo yuko Kongwa.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.