• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIJANA - KONGWA WAASWA KUACHANA NA KAMALI

Imetumwa : December 12th, 2023

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule Disemba 12,2023 amefanya ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa ndani ya Wilaya ya Kongwa pamoja na kusikiliza Changamoto, kero na maoni ya Wananchi wa Wilaya hiyo.

Akizungumza na Wananchi wa Kata ya Kibaigwa Mhe. Senyamule amewakemea vikali Vijana wanaocheza michezo ya kamali (DUBWI) kuhakikisha wanafuata taratibu na sheria za mchezo huo kwa kuzingatia umri usiopungua miaka 18.

" Watendaji wa Kata na Vijiji hakikisheni mnawafuatilia wamiliki wa mabanda hayo ya kamali na wanazingatia muda wa kufungua husika kwa kuzingatia taratibu na sheria za mchezo huo ili kuondoa na kuepukana na vijana wanajiingiza katika michezo hiyo kabla ya umri uliowekwa na Serikali ili kuepusha athari mbalimbali," ameeleza Senyamule

Katika ziara hiyo Mhe.Senyamule amefanikiwa kukagua Jengo jipya la Halmashauri hiyo linalojengwa kwa garama ya zaidi ya Shillingi Bilioni 2.8 fedha kutoka Serikali Kuu,ametembelea na kuona utoaji huduma katika Soko la Mazao mbalimbali Kibaigwa pamoja na mradi wa mtaro wa maji taka wenye urefu wa mita 2500 katika barabara ya Kibaigwa Sokoni.

Licha ya kukagua na kutembelea miradi mbalimbali Mhe. Senyamule alipata fursa ya kusikiliza na kutatua kero na malalamiko mbalimbali ya wananchi wa kata kibaigwa ambapo jumla ya kero 48 zilipatiwa ufumbuzi kutoka kwa wataalamu mbalimbali wa ngazi ya Mkoa alioambatana nao.

Hata hivyo Mkurugenzi mtendaji wa Wilaya ya Kongwa Dkt. Omary Nkullo ameahidi kuendelea kutatua kero mbalimbalim za wakazi wa wilaya hiyo pia kuendelea kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa ubora na ufasaha unaotakiwa.

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MADEREVA WA SERIKALI WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

    May 17, 2025
  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.