• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

VIONGOZI WA DINI WASISITIZWA KUHUBIRI AMANI

Imetumwa : May 14th, 2025

Na. Sizah Kangalawe

Viongozi wa Dini Mkoa wa Dodoma wamesisitizwa kuendelea kuliombea Taifa pamoja na kuhubiri Amani kwa waamini wa Dini mbalimbali wanazoziongoza.

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule Mei 14,2025 wakati wa kikao na Viongozi wa Dini wa Mkoa wa Dodoma, Kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi yake Jijini Dodoma.

‘’Tunamshukuru sana baba wa Taifa kwa historia, alipotujengea ule umoja hadi mtu unajiuliza aliwezaje? kitu kikubwa kilichofanikisha hili ni ile tuongee lugha moja, lakini pia namna mikoa ilivyogawanywa.Baba wa Taifa alisema kabila moja lisikae Mkoa mzima peke yake, ndio maana utagundua kila Mkoa una kabila zaidi ya moja.

‘’Mwaka huu tunazo chaguzi, nyakati hizi tutasikia maneno mengi masikioni mwetu kwasababu katika chaguzi sio wote wanadhamira njema, lakini tunachowaomba Amani ya Nchi yetu ipewe kipaumbele na umoja wetu wa Kitaifa upewe kipaumbele’’, Mhe. Senyamule

Hata hivyo Mhe. Senyamule ametumia wasaa huo kueleza juu ya ujio wa Siku ya Samia (Samia day) ambayo itakuwa ni siku maalum ya kuelezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita, ambapo siku hiyo itaazimishwa kwa kata zote za Mkoa huu.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#kero yakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.