• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI DENMARK WAITWA DODOMA

Imetumwa : June 9th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ametoa wito kwa Wawekezaji kutoka Denmark kuongeza uwekezaji wao katika sekta za afya, kilimo, viwanda, utalii, nishati safi pamoja na kujenga ofisi zao Jijini Dodoma ili kuimarisha ushirikiano wake na Tanzania.

Balozi Kombo ametoa wito huo alipowaongoza Watanzania na Wanadiplomasia katika Maadhimisho ya Siku ya  Katiba ya Denmark yaliyofanyika katika Makazi ya Balozi wa Nchi hiyo Jijini Dar es Salaam Juni 05, 2025.

Wito huo umekuja baada ya kufanyika kwa ziara ya Mabalozi (Capital City Diplomatic Tour) Jijini Dodoma iliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa  Mkoa  kwa kushirikiana na Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Wizara ya Mali Asili na Utalii,Wakala wa  Barabara Nchini (TANROADS) pamoja na Hospitali ya Benjamini Mkapa ambapo Mabalozi hao walitembelea Hospitali ya Benjamini Mkapa,Mji wa Serikali Mtumba na Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato.

Awali, Balozi wa Denmark hapa nchini, Mhe. Jesper Kammersgaard, aliipongeza Tanzania kwa mafanikio makubwa iliyoyapata katika nyanja za kiuchumi, miundombinu na maendeleo ya kijamii huku akiongeza kuwa, mafanikio hayo yameihamasisha Nchi yake kuendelea kuimarisha uhusiano wake wa kirafiki na kindugu na Tanzania.

Siku ya Katiba ya Denmark huadhimishwa Juni 05 ya kila mwaka kukumbuka kupitishwa kwa Katiba ya kwanza ya kidemokrasia ya Nchi hiyo mwaka 1849 na huheshimiwa kama siku ya kidemokrasia ya Taifa hilo.


#capitalcitydiplomatictour

#takedodomatotheworld

#bringtheworldtododoma

#dodomawerereadyforyou

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YAPONGEZWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA 2023/2024

    June 13, 2025
  • KIWANDA CHA NONDO KINACHOTUMIA UMEME JUA KUJENGWA CHAMWINO MKOANI DODOMA

    June 13, 2025
  • RAIS DKT. SAMIA KUFANYA ZIARA JIJINI DODOMA

    June 13, 2025
  • DODOMA YAENDELEA NA MAANDALIZI KUELEKEA SIKU YA KUPINGA DAWA YA KULEVYA DUNIANI

    June 12, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.