- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
-
Utawala
- Muundo wa Taasisi
-
Seksheni
- Administration and Human Resource Management Section
- Planning and Coordination
- Infrastructure section
- Management Monitoring and Inspection section;
- Education and vocational Training section
- Economic and productive sectors section;
- Health, Social welfare and Nutrition services section
- Industry, Trade and Investment section
- Vitengo
- Wilaya
- Mamlaka za Serikali za mitaa
- Uwekezaji
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mkuu wa Mkoa Dodoma Dkt Binilith Mahenge akiwajulia hali wagonjwa 53 wailiolazwa kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mara baada ya kupata ugonjwa wa kuharisha na kutapika baada ya kula chakula kwenye msiba eneo la mtumba jijini Dodoma jana Disemba 15, 2019, Wagonjwa 23 kati ya hao 53 waliruhusiwa leo mchana baada ya hali zao kurejea vizuri, Mlkuu wa Mkoa Dkt Mahenge aliwapongeza timu ya Wataalamu wa Afya wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa namna walivyowashughulikia wananchi hao na kuhakikisha wanarejea katika hali zao za kawaida bila madhara kutokea. Pia alibainisha kuwa serikali ilitoa matibabu kwa wananchi hao wote 53 bure bila malipo yaoyote ambapo alitumia nafasi hiyo kuwataka wananchi kuwa makini kwenye usafi majumbani na vyakula kwa ujumla kwa kuwa msimu huu wa mvua magonjwa ya milipuko huwa yanatokea.


