Wednesday 18th, May 2022
@UKUMBI WA MIKUTANO WA OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA
MKUU WA MKOA WA DODOMA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA DODOMA DKT. BINILITH SATANO MAHENGE ANAWAKARIBISHA WAJUMBE WOTE WA KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA DODOMA KWENYE KIKAO CHA KAMATI KITAKACHOFANYIKA SIKU YA ALHAMISI TAREHE 19 DISEMBA, 2019 KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA OFISI YA MKUU WA MKOA DODOMA ILIYOPO JENGO LA MKAPA (MKAPA HOUSE) BARABARA YA HOSPITALI YA MKOA MJINI DODOMA.
Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa
Anuani ya Posta: 914 DODOMA
Simu: +255 26 232 4343/232
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz
Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.