• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

HUDUMA ZA VODACOM ZINALENGA KUBORESHA MAISHA ; RC SENYAMULE

Imetumwa : November 20th, 2024

Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule leo tarehe 20 Oktoba 2024 wakati akizindua duka la Vodacom lililopo ndani ya Jengo la Stesheni ya Samia Suluhu Hassan (Stesheni ya treni za Mwendokasi ya Dodoma).

Akizungumza na wafanyakazi pamoja na Wananchi waliokusanyika kushuhudia tukio hilo Mhe. Senyamule amesema, "Serikali imelenga Wananchi wapate huduma bora ili kuendeleza uchumi wao  na Nchi kwa ujumla.Vodacom  inasaidia  kuboresha maisha ya Watanzania kwa kusogeza huduma katika maeneo yenye uhitaji.

Kila msafiri ambaye anasafiri anaweza kupata huduma hapa hapa Kabla na baada ya kusafiri ili kusiwepo na kikwazo chochote wakati wa safari ya mtu mmoja mmoja, kumsaidia kupata huduma kwa wepesi kabisa.Kuletwa kwa huduma hii hapa itasaidia sana wateja wa Vodacom  kupata huduma kwa urahisi".Amesema Mhe.Senyamule.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Vodacom Bw.Haji Thomas Mihayo amesema kwamba Vodacom inafanya jitihada nyingi kuwafikia wateja wake popote walipo,ndio maana  imeleta huduma katika eneo  hilo.

“Vodacom inalenga kuwafikia wananchi na kuweka huduma za maduka katika  SGR zote ili kuwafikia wananchi na wateja wake kwa ujumla. Tunatoa huduma kupitia njia za Mitandao ya kijamii na imezingatia kutoa huduma mbalimbali kwa wateja wake”.amesema Bw.Mihayo.

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • RC SENYAMULE APUNGUZA KERO ZA ARDHI KWA KIWANGO KIKUBWA MKOA WA DODOMA

    August 29, 2025
  • VIKUNDI 308 KUNEEMEKA NA BILIONI 3.6 ZA MIKOPO YA 10% DODOMA

    August 28, 2025
  • WATUMISHI WAASWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA KAZI

    August 26, 2025
  • MRADI WA ‘KOFFI’ WATOA DOLA BILIONI 2.455 KUBORESHA HUDUMA ZA UZAZI NA MTOTO DODOMA

    August 21, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.