• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DODOMA YAENDELEA NA MAANDALIZI KUELEKEA SIKU YA KUPINGA DAWA YA KULEVYA DUNIANI

Imetumwa : June 12th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya ameongoza kikao cha tatu cha maandalizi ya Kilele cha Maadhimisho ya kupinga dawa za kulevya Duniani leo Juni 12, 2025 kikao ambacho kimehusisha Kamati ya Usalama ya Mkoa pamoja na Wajumbe wa Sekretariet ya Mkoa.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Jengo la Mkapa leo Juni 12, 2025.

Kilele cha siku ya kupinga dawa za kulevya Duniani, kinatarajiwa kufanyika Juni 26, 2025 Katika Kituo cha Mikutano Jakaya Kikwete cha Jijini Dodoma na kuhudhuriwa na makundi mbalimbali ya kijamii yanayopatikana Mkoani hapa sambamba na wananchi wa Mkoa wa Dodoma na mikoa jirani.

Mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA YAPONGEZWA KUPATA HATI SAFI KWA MWAKA 2023/2024

    June 13, 2025
  • KIWANDA CHA NONDO KINACHOTUMIA UMEME JUA KUJENGWA CHAMWINO MKOANI DODOMA

    June 13, 2025
  • RAIS DKT. SAMIA KUFANYA ZIARA JIJINI DODOMA

    June 13, 2025
  • DODOMA YAENDELEA NA MAANDALIZI KUELEKEA SIKU YA KUPINGA DAWA YA KULEVYA DUNIANI

    June 12, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.