• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KIWANDA CHA NONDO KINACHOTUMIA UMEME JUA KUJENGWA CHAMWINO MKOANI DODOMA

Imetumwa : June 13th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Kiwanda cha uzalishaji wa nondo kinachotumia kiwango kikubwa cha umeme jua (Solar Energy), kinatarajiwa kujengwa katika eneo la Chinangali II, Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma ambapo kitakua kiwanda kikubwa barani Afrika kutumia nishati hiyo kwa uzalishaji.

Wawekezaji wa kiwanda hicho kutoka nchini China, wamefika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule Jijini Dodoma leo Juni 13, 2025 kutambulisha dhamira yao ambapo Mkuu wa Mkoa amewakaribisha na kuwashukuru kwa kuchagua kuwekeza Dodoma kwani ni sehemu sahihi yenye huduma zote muhimu zinazopatikana mahali pengine popote.

 “Nimefarijika kuona jinsi Dodoma inavyoendelea kupata wawekezaji kutoka Nchi mbalimbali kwani ndio kipaumbele chetu. Niwakaribishe sana muifaharishe Dodoma ambayo ni makao makuu ya Nchi, hivi karibuni tulifanya ziara ya Mabalozi na tumewaonesha huduma zinazopatikana hapa na kuwaambia watuletee wawekezaji kwani ni sehemu sahihi na inayojitosheleza”. Mhe. Senyamule.

Wawekezaji hao ambao ni wabobezi katika uzalishaji wa bidhaa kwa kutumia nishati hiyo nchini China kwani wanashika nafasi ya 10 kwa ubora wa viwanda vinavyotumia umeme jua nchini mwao, wameshaingia ubia na mwekezaji mzawa anayejulikana kama ‘Siwaye Trading Company’ anayepatikana eneo la Chinangali II katika Wilaya ya Chamwino ambapo nao wameomba kupatiwa eneo hapo.  


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • VIJANA RIKA BALEHE 13,218 MKOA WA DODOMA WANUFAIKA NA UTEKELEZAJI WA MRADI WA AHADI

    July 23, 2025
  • MAAMBUKI YA UGONJWA WA HOMA YA INI ‘B’ YAFIKA 3.5% KITAIFA

    July 24, 2025
  • DODOMA NBC MARATHON YALENGA KUOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO

    July 24, 2025
  • NGO’s DODOMA ZATAKIWA KUWAJIBIKA KWA SHERIA NA TARATIBU

    July 23, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.