• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KUELEKEA MIAKA 48 YA CCM ; WAGENI KARIBUNI DODOMA

Imetumwa : February 3rd, 2025

Na. Sizah Kangalawe

 Habari - Dodoma RS 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amewakaribisha wananchi wote wanaotarajia kufika Mkoani hapa kwa lengo la kushiriki maadhimisho miaka 48  ya Chama Cha Mapinduzi  tangu kuanzishwa kwake mnamo February 05,1977.

Mhe. Senyamule ametoa mwaliko huo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ikiwa ni maandalizi ya kuelekea maadhimisho ya siku hiyo yanayotarajiwa kufanyika Februari 5,2025 katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

"Ninayo heshima kubwa kuwakaribisha wageni wote wanaotarajia kuja Dodoma kwaajili ya Mkutano huo. Niwahakikishie tu kwamba Dodoma tumejipanga, hali ni shwari, ulinzi na Usalama vimeimarika kwani vyombo vyote vinavyohusika na Usalama vinafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha wananchi wote wa Dodoma pamoja na wageni wanakuwa salama na wanaendelea na shughuli zao za kila siku bila hofu yoyote.

"Mgeni Rasmi kwenye Maadhimisho hayo  anatarajiwa kuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa. Nitoe shime kwa Wanadodoma wote, tujitokeze kwa wingi kusikiliza mambo makubwa ambayo Chama Tawala ( CCM) kimefanya.Hili ni tukio kubwa litakalofanyika ndani ya Mkoa wetu, kwani linatupa fahari kubwa kama  Mkoa na  Makao Makuu ya Nchi" Mhe. Senyamule

Aidha Mhe. Senyamule ametoa fursa kwa wajasiriamali wanaofanya  biashara ya uji Jijini hapa,kufika ofisini ili wajisajili na kupatiwa utaratibu mzuri wa  jinsi ya kutoa huduma hiyo  Uwanjani hapo,ambapo mwisho  wa usajili  ni Jumanne ya Februari 4,2025  saa 4: 30 asubuhi.

Hatahivyo RC Senyamule amewahakikishia wananchi wote watakaoshiriki maadhimisho hayo kuwa watapata kifungua kinywa hivyo wawahi mapema uwanjani.

#dodomafahariyawatanzania

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • KAMPUNI YA "CAVO'' YA CHINA YATAFUTA FURSA ZA UWEKEZAJI DODOMA

    May 05, 2025
  • TAWLA - SAUTI YA WANAWAKE NA WATOTO WALIOKOSA ULINZI WA KISHERIA KATIKA JAMII

    May 03, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.