Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka, amezindua hashtag maalumu kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha maadhimisho ya Mei Mosi kitaifa ambayo mwaka huu yatafanyikia Makao Makuu ya nchi, Dodoma. Uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 14 Aprili, 2022 kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka, amezindua hashtag maalumu kwa ajili ya kampeni ya kuhamasisha maadhimisho ya Mei Mosi kitaifa ambayo mwaka huu yatafanyikia Makao Makuu ya nchi, Dodoma. Uzinduzi huo umefanyika leo tarehe 14 Aprili, 2022 kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Pichani, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka na wadhamini wakuu wa Maadhimisho ya Mei Mosi, 2022 Benki ya CRDB
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Anthony Mtaka, akizungumza na waandishi wa habari baada ya Uzinduzi wa hashtag ya Maadhimisho ya Mei Mosi inayosema #meimosi2022dodomakivingine#. Hashtag hii ndiyo itakayotumika katika kampeni ya kuhamasisha maadhimisho ya mwaka huu kwenye vyombo vya habari na majukwaa mbalimbali
Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa
Anuani ya Posta: 914 DODOMA
Simu: +255 26 232 4343/232
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz
Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.