• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MRADI WA ‘YEFFA’ MKOA WA DODOMA WAIBUA VIJANA WANUFAIKA 84,590 MKOA WA DODOMA

Imetumwa : June 4th, 2025

Na. Hellen M. Minja

       Habari – DODOMA RS

Vijana 84,590 wameibuliwa kutoka kwenye Mradi wa ‘Youth Entrepreneurship for the Future of Food and Agriculture (YEFFA)’ wenye lengo la kuibua fursa za kilimo kwa vijana wa Mkoa wa Dodoma ulioanzishwa na Taasisi ya ‘Voice of Youth Tanzania’ (VOYOTA) katika kipindi cha mwaka mmoja (2024 – 2025) wa utekelezaji wake.

Hayo yamebainishwa na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K. Mmuya alipokua akifungua kikao kazi cha Taasisi hiyo na wadau wanaofanyanao kazi katika kutimiza malengo ya Mradi kilichofanyika kwenye ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jijini humu leo Juni 04, 2025.

“Hii Taasisi wametueleza hapa lengo lao ni vijana nyinyi muibue fursa zilizopo kwenye kilimo. Kwanza alitengeneza ‘profile’ ili kufahamu wakulima katika kundi hili wako wangapi? Nimeambiwa ni 84,590 mmewaibua kutokea mwaka jana mwezi wa saba mradi ulipozinduliwa na mmewawekea malengo katika mwezi wasipungue vijana 2500.”

Kadhalika, Meneja Mradi wa YEFFA kutoka VOYOTA Bw. Andrew Buhuba amesema Mradi huo umetoa kipaumbele zaidi kwa wanawake takribani 80% waweze kunufaika na mradi unatekelezwa kwenye Mikoa sita ikiwemo Dodoma na wanaendelea na mradi kwa miaka mingine mitatu.

Meneja huyo ameongeza kuwa, wameingia makubaliano na wakulima viongozi na kuangalia namna wanavyoweza kufikia malengo ya kuwafikia vijana wengi zaidi kwa Mkoa wa Dodoma hususan katika Wilaya za Chamwino na Dodoma na leo wamekutana na viongozi wao kuangalia namna wanavyoweza kutatua changamoto zinazojitokeza.

Mradi wa 'YEFFA' unatekelezwa chini ya ufadhili wa 'AGRA' ambapo hufanya kazi kwa kuwaingiza wakulima kwenye kanzi data inayowawezesha kunufaika na fursa mbalimbali zinazozunguka Mradi huo kutokana na Mradi kuwa na Wadau wengi na unashughulika na vijana wenye umri kuanzia miaka 15 hadi 35.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

#mtiwangubirthdayyangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • ‘iMES’ KUTATUA CHANGAMOTO YA UPATIKANAJI WA TAARIFA ZA KADA YA MAENDELEO YA JAMII MKOA WA DODOMA

    June 06, 2025
  • BAHI WAJIVUNIA BILIONI 52, MIAKA 4 YA RAIS SAMIA

    June 03, 2025
  • WATAALAMU WA ELIMU NGAZI YA HALMASHAURI WANADHAMANA YA KULETA TIJA KWA TAIFA

    June 04, 2025
  • MRADI WA ‘YEFFA’ MKOA WA DODOMA WAIBUA VIJANA WANUFAIKA 84,590 MKOA WA DODOMA

    June 04, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.