• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RAS DKT. KAZUNGU AWATAKA WATUMISHI WA SERIKALI KUFANYA KAZI KWA WELEDI , JUHUDI NA MAARIFA

Imetumwa : September 15th, 2025

_Amesisitiza mshikamano, utiifu wa sheria na taratibu za utumishi

_Ameshukuru kwa mapokezi mazuri kutoka kwa watumishi


Na; Happiness E. Chindiye

 Habari - Dodoma RS

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Khatibu Kazungu, amewataka watumishi wa Serikali kufanya kazi kwa weledi, juhudi na maarifa, huku wakizingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya utumishi wa umma.

Dkt. Kazungu ametoa wito huo mara baada ya kuwasili katika Wilaya za Mpwapwa na Kongwa, katika ziara yake aliyoianza yenye lengo la kujitambulisha kwa watumishi, kusikiliza changamoto zao na kutoa ufumbuzi wa kero mbalimbali. Mapema leo Semptemba 15,2025.

“Tuendelee kufanya kazi kwa weledi, juhudi na maarifa tukizingatia sheria, kanuni, taratibu pamoja na miongozo yote inayotolewa na viongozi wetu,” alielekeza Dkt. Kazungu.

Aidha, amesisitiza umuhimu wa watumishi kufanya kazi kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050, malengo ya milenia, Ilani ya Chama Tawala pamoja na mikakati ya Halmashauri za maeneo husika.

“Tunapotekeleza majukumu yetu, tuhakikishe malengo yetu yanazingatia Dira ya Taifa ya 2050 pamoja na maelekezo ya viongozi wetu,” alisema.

Dkt. Kazungu alipowasili katika wilaya hizo alipokelewa na Makatibu Tawala wa Wilaya na Wajumbe wa Kamati za Ulinzi na Usalama. Katika vikao tofauti, alizungumza na watumishi kutoka taasisi na kada mbalimbali na kufanikisha upatikanaji wa ufumbuzi wa kero zilizowasilishwa.


#DodomaFahariYaWatanzania

#KeroYakoWajibuWangu

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • SERIKALI YATEKELEZA MIRADI YENYE MANUFAA KWA WANANCHI WA WILAYA YA CHAMWINO

    September 15, 2025
  • RAS DKT. KAZUNGU AWATAKA WATUMISHI WA SERIKALI KUFANYA KAZI KWA WELEDI , JUHUDI NA MAARIFA

    September 15, 2025
  • MAMLAKA YA MAPATO YAPONGEZWA KWA UZINDUZI WA DAWATI MAALUM LA UWEZESHAJI BIASHARA

    September 11, 2025
  • DKT. KAZUNGU ATEMBELEA ENEO LENYE MGOGORO WA ARDHI NKUHUNGU , NDACHI

    September 11, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.