• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC DODOMA AIPONGEZA MAHAKAMA KWA KUENDELEA KUIMARISHA UTOAJI HAKI

Imetumwa : June 10th, 2025

Na:Sofia Remmi.

Habari:Dodoma Rs.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule ameupongeza Muhimili wa Mahakama kwa kuendelea kuimalisha suala la utoaji haki

Mkuu wa mkoa ametoa pongezi hizo wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha wajumbe wa Kamati za Maadili za Maafisa wa  Mahakama Mkoa wa Dodoma.

Hafla hiyo imefanyika leo tarehe 09 Juni 2025 katika Jengo la Kituo Jumuishi cha Mahakama Jijini Dodoma.

Akizungumza mara baada ya uapisho huo Mhe. Senyamule amesema  kamati hizo za Maadili za Mkoa ni kamati ambazo zinakwenda kusimamia maadili ya Maafisa wa Mahakama.

“Jambo hili limeleta tija kubwa sana kwa wananchi, na Mahakama ni chombo cha kuaminiwa na kuheshimiwa kwa Watanzania”

“ Nchi yetu imeendelea kuimarisha muhimili huu kwa kuwawekea uwekezaji mkubwa kama kujengewa Jengo kubwa na la kisasa kabisa, na hiyo yote ni dhamira ya kutaka kuhakikisha haki ya wananchi inapatikana,Kamati hızı muhimu kwa ajili ya kutoa uamuzi na uwezo mahala pa kazi”Amesema Mhe. Senyamule.

Kwa upande wake Dkt.Juliana Masabu Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu ya Kanda ya Dodoma amesema jukumu hilo la kuapisha ni jukumu muhimu kwani bila kiapo Kamati hızo haziwezi kufanya kazi.

“Nafasi hii si ndogo ni nafasi kubwa, jukumu la mahakama ni jukumu la kikatiba la utoaji haki, lakini kwa imani zetu ni jukumu la Kimungu zaidi ambalo tumekasimiwa tu”Amesema Masabu.


#dodomafahariyawatanzania

#wekezadodomastawishadodoma

#keroyakowajibuwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DODOMA YAENDELEA NA MAANDALIZI KUELEKEA SIKU YA KUPINGA DAWA YA KULEVYA DUNIANI

    June 12, 2025
  • VITUO VYA AFYA MSINGI MKOANI DODOMA VYAONGOZA MATUMIZI YA MFUMO WA ‘ GoTHOMIS’ KWA 98%

    June 12, 2025
  • DODOMA YAANZA KWA KISHINDO UMITASHUMTA - IRINGA

    June 10, 2025
  • DODOMA KUFUNGUA BARABARA KUELEKEA HIFADHI YA TAIFA RUAHA KUKUZA UTALII WA NDANI

    June 10, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.