• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC SENYAMULE ATOA WITO KWA WADAU WA USHIRIKA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Imetumwa : September 19th, 2025

Na:Sofia Remmi.

Habari:DodomaRs

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule ametoa wito kwa wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba.

Akizungumza wakati akifungua kikao kazi chake  na Wadau wa Ushirika Mhe. Senyamule alisema  uzoefu unaonyesha kuwa  wananchi wengi wanajiandikisha lakini hawajitokezi kupiga kura.

Amesema kwa mwaka 2020 Mkoa wa Dodoma ulikuwa na takwimu mbaya ambapo katika zoezi la uandikishaji ulifanya vizuri kwani  asilimia 94 walijiandikisha na kupewa vitambulisho vya kupigia kura,lakini ni asilimia 45 tu ndio waliojitokeza kupiga kura.

“Hadi hivi sasa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) imeshafanya kazi yake vizuri sasa kazi kubwa imebaki kwetu kuhakikisha tunahamasisha makundi yote yaliyojiandikisha kujitokeza kwa wingi kupiga kura ili kutimiza haki yao ya kikatiba. Kazi iliyopo na tunayoendelea nayo ni kufanya asilimia 100 ya waliojiandikisha kujitokeza  kupiga kura''amesema Mhe. Senyamule.

Katika hatua nyingine Mhe. Senyamule alisema Rais Dk.Samia amefanya kazi kubwa kuhakikisha Ushirika unaendelea kustawi na kunufaisha wakulima wengi,ambapo alitoa fedha kwa ajili kuhakikisha benki ya ushirika inaanzishwa” Aliongeza Mhe.  Senyamule.

Kwa upande wake Mkulima kutoka wilaya ya Bahi Maxmiliani alisema Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais Dk.Samia imetoa sh.bilioni 10 kwa ajili ya ujenzi wa skimu ya umwagiliaji.

Akizungumza kuhusu uchaguzi Mkuu 2025, alisema wapo tayari kushiriki kwani ni haki ya  kikatiba,vilevile  kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya kilimo na Taifa kwa ujumla.


#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

#nimejiandikisha,nitapigakura

Matangazo

  • No records found
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • DODOMA NI SEHEMU NZURI YA UWEKEZAJI

    October 01, 2025
  • CCTV CAMERA KUFICHUA WAVUNJIFU WA SHERIA KATIKA JIJI LA DODOMA

    September 30, 2025
  • DODOMA YAADHIMISHA SIKU YA UTALII DUNIANI KWENYE MICHORO YA MIAMBANI KONDOA

    September 27, 2025
  • JUHUDI KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO ZAPAMBA MOTO

    September 25, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.