• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

WILAYA ZA KONGWA NA MPWAPWA KUNUFAIKA NA UFADHILI WA KOFIH

Imetumwa : February 4th, 2025


Na; Happiness E. Chindiye

Habari - Dodoma RS

Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya, leo Februari 04, 2025 ameongoza kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa kuboresha huduma za Afya ya Uzazi na Mtoto unaofadhiliwa na Shirika la ‘ Korea Foundation International Health care' (KOFIH) Kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hospital ya Wilaya ya Kongwa.

Kikao hicho kimelenga kujadili na kuweka mikakati mbalimbali ya utekelezaji wa shughuli za Mradi huo ambao unatekelezwa katika Halmashauri za Wilaya za Kongwa na Mpwapwa.

Akizungumza na Kamati hiyo Bw. Mmuya amesisitiza kuhusu kusimamiwa kwa mikakati ya kupunguza vifo vya watoto wachanga  na vifo vitokanavyo na uzazi kwani Mradi una lengo hilo.


"Kwa sasa nendeni mkahakikishe vifo havitokei,sitohitaji kusikia hii changamoto"


Naye Mwakilishi   wa Shirika la KOFIH Nchini Tanzania Bw. Gyeonbae Seo, ameishukuru Serikali Kuu na Uongozi wa Mkoa wa Dodoma  kwa kuendelea kushirikiana nao katika utekelezaji wa mradi huo ambao hadi sasa upo mwaka wa nne (4)  wa utekelezaji wake.

Kwa upande wake, Mratibu wa Huduma za Afya ya Uzazi  na Mtoto Mkoa wa Dodoma Bi. Nice Moshi, amesema Mkoa umepokea kiasi cha  fedha shilingi  1,550,466,939.92 kutoka KOFIH kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli zilizopangwa mwaka 2024/2025 ambazo zimetumika kwa ujenzi wa jengo la maabara, jengo la utoaji huduma za afya ya uzazi na Mtoto, jengo la huduma za  watoto, ununuzi wa majenereta, dawa, vifaa tiba pamoja na kutoa mafunzo kwa watoa huduma za afya katika Halmashauri hizo.

Mradi huo ambao ni wa miaka mitano (2021 -2026), umefikia mwaka  wa nne (2024/2025) wa utekelezaji  tangu kuanza kwake.


#dodomafahariyawatanzania

#keroyakowajibuwangu

#birthdayangumtiwangu

Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA ‘ DIPLOMATIC CAPITAL CITY TOUR’ YAIVA

    May 08, 2025
  • DODOMA YADHAMIRIA KUJIKITA KWENYE KILIMO CHA MATUFAHA (APPLES) KUINUA UCHUMI

    May 08, 2025
  • MAAFISA MAZINGIRA WAPEWA HEKO NA RAS MMUYA

    May 06, 2025
  • RAS MMUYA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA UTUMISHI MKOA WA DODOMA

    May 05, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.