• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Ofisi |
    • Malalamiko |
    • eoffice |
Dodoma Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Muundo wa Taasisi
      • Huduma Zetu
    • Huduma Zetu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Seksheni
      • Administration and Human Resource Management Section
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure section
      • Management Monitoring and Inspection section;
      • Education and vocational Training section
      • Economic and productive sectors section;
      • Health, Social welfare and Nutrition services section
      • Industry, Trade and Investment section
    • Vitengo
      • Information Communication Technology (lcT) and Statistics
      • Government Communication Unit
      • Finance and Accounts unit;
      • Internal Audit unit
      • Legal services unit;
      • Procurement Management unit;
  • Wilaya
    • Bahi
    • Chamwino
    • Kongwa
    • Mpwapwa
    • Kondoa
    • Dodoma Mjini
    • Chemba
  • Mamlaka za Serikali za mitaa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Bahi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino
    • Halmashauri ya Wilaya ya Chemba
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa
    • Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa
    • Halmashauri ya Wilaya Mpwapwa
    • Halmashauri ya Mji Kondoa
    • The City Council of Dodoma (CCD)
  • Uwekezaji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ACTION AUTO GARAGE YAFUNGULIWA DODOMA

Imetumwa : August 15th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule Leo Agosti 15/2024, amezindua karakana ya kisasa ya Toyota ( Action auto Garage) inayojihusisha na utengenezaji wa kisasa wa magari  inayopatikana Nzuguni Jijini Dodoma.

Akizungumza katika uzinduzi huo Mhe. Senyamule amewataka madereva wa magari kupatiwa Elimu Ili kuepusha uharibifu na kuzuia uchakavu wa vyombo hivyo unaotokana na Uzembe.

"Mkurugenzi wa Garage hii amesema madereva wanatakiwa waje wapate Elimu, kwa hiyo nisisitize jambo hili Kwa Taasisi zote za Serikali na watu Binafsi, Magari haya yana gharama kubwa sana  kwa hiyo tunategemea yakae muda mrefu lakini ukiona yamekaa muda mchache ujue kuna tatizo mahali na matatizo mengi unakuta si ya mtengenezaji ila ni ya kwetu kwa sababu ya kutofuata maelekezo ya matumizi husika ikiwemo kufanya Service Kwa wakati kwa hiyo inatakiwa upatiwe Elimu ya kutosha", Mhe. Senyamule 

Aidha Mhe. Senyamule amewapongeza Toyota Tanzania Kwa kufungua Chumba Cha maonesho ya magari Mkoani Dodoma kwani Kwa kufanya hivo kunawarahisishia upatikanaji wa huduma hiyo Kwa wakazi wa Mkoa huo na Mikoa Jirani

"Mimi furaha yangu ni kuwa tulizoea kuyapata magari haya mapya kutoka Mikoa mingine lakini sasa tunaanza kupata hapa hapa, unachukua ufunguo unaondoka nalo, nategemea kwa kuwa hapa ni Makao Makuu kutakuwa na aina zote za magari yanayotengenezwa na Toyota," Mhe. Senyamule

Akizungumza katika uzinduzi huo, Mkurugenzi Mkuu wa Auto Garage action Bw. Saileshi Dattani, amewapongeza TEMESA Tanzania kwa kuwa amini na kuendelea kushirikiana nao hususani katika kutengeneza Magari ya Serikali. 

Hata hivyo, uzinduzi wa Karakana hiyo umeambatana na uzinduzi wa Chumba Cha maonesho ya magari (Show room) pamoja na sherehe za kutimiza miaka 21 ya wamiliki wa karakana hiyo tangu walipotawazwa  Uwakala wa Toyota Mwaka  2003.

&&&












Matangazo

  • "WANANCHI JITOKEZENI MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025" - RC SENYAMULE February 17, 2025
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • WATANZANIA WATAKIWA KUILINDA NA KUIDUMISHA AMANI NI KURUHUSU MAENDELEO NCHINI

    May 15, 2025
  • MKURUGENZI WA ‘WATER FOR PEOPLE ‘ AMTEMBELEA RAS MMUYA

    May 16, 2025
  • WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAASWA SAFARI YA ELIMU BADO NI NDEFU

    May 17, 2025
  • RC SENYAMULE AZUNGUMZA NA MAKUNDI MBALIMBALI MKOANI KWAKE

    May 15, 2025
  • Tazama Zote

Video

RC SENYAMULE AKIZUNGUMZA KWENYE UZINDUZI WA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO YA MWAKA 2014 TOLEO LA 2023.
Video Nyinginezo

Kurasa za Karibu

  • Speeches
  • mission and vision
  • Photo Gallery
  • Videos
  • Press Releases
  • Organization Structure
  • Reports
  • Client Service Charter
  • Acts

Tovuti Muhimu

  • PO-RALG
  • Public Service Management
  • Parliament of Tanzania
  • UDOM
  • Government Portal
  • Prime Minister's Office Website

World Visitors Tracker

world map hits counter

Rejesta ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Jengo la Mkapa (Mkapa House) Barabara ya Hospitali ya Mkoa

    Anuani ya Posta: 914 DODOMA

    Simu: +255 26 232 4343/232

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ras@dodoma.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya eneo

Hakimiliki©2016 GWF . Haki zote zimehifadhiwa.